Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Ndgu yangu SEMA tu na uteme mate chiniThank God, I knew this when was still a teenager.
Ukweli mchungu,mtu mnakutana mmeisha kuwa watu wazima,hujui kalelewa wapi,alifundishwa nini,harafu unajifanya kuamini kwa kila kitu!!that is insane!inabidi upimwe kichwa.
Kuwa muaminifu ni tatizo??Kwa Nini tuaminiane
Amini kwa asilimia chache zingine weka kama reserveKuwa muaminifu ni tatizo??
Mke wako anafahamu kwamba wewe Ni mchawi?Sina siri, sina cha kupoteza
Ukweli wenye kuuma[emoji51]Thank God, I knew this when was still a teenager.
Ukweli mchungu,mtu mnakutana mmeisha kuwa watu wazima,hujui kalelewa wapi,alifundishwa nini,harafu unajifanya kuamini kwa kila kitu!!that is insane!inabidi upimwe kichwa.
Waaminifu ni malaika tu, tena na wenyewe walimsaliti Mungu.Kuwa muaminifu ni tatizo??
Sasa kama mnatupa watoto sio wetu kisirisiri unategemea sisi tutawaamini tuwaambie siri zetu ?Ndgu yangu SEMA tu na uteme mate chini
Hizo ni assumptions. Kuandika statements bila kutoa Ushuhuda si sahihi unless unatoa assigment as if sie ni Wanafunzi wakoLeo ni siku. Salam wanajamhuri.
Nianze na ukweli huu. Ndg zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usijeukaamini hUyo ni muaminifu. Kamwe.
Wanawake na wanaume tunapitia wkt mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu.
Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana Kwa style nyingi Sana si lazima akusaliti Kw njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.
Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong
Waambie haoMaisha ya ndoa ni mtihani mkubwa. Kuwa tu na imani thabiti kuwa " mwanamke/mwanaume mwema halindwi ila hujilinda m wenyewe" Ngoja nikupe ushauri mwanaume mwenzangu! Ukijifanya unamlinda mwanamke utakonda kwa mawazo na mwisho kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app