Kama unafanya kazi weka salary mezani Tuione

Kama unafanya kazi weka salary mezani Tuione

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Verses hizi hapa niwekee vocal na biti unitumie PM.Ukiwa na vese za kuongezea weka hapa......Master Jay, Majani. Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki.

Kama unafanya kazi
Weka salary mezani
Tuoneee sasa Tuoneee ...tuone. (mara mbili)

Waweza weka cash,weka kreti,
Weka Fresh.weka tuonee,tuonee
Wengine wafanyakazi,ela ya pipi, weka tuone tuone,weka tuone
Wengine wafanya kazi hela ya chips weka tuone tuone.eee
Waweza kwenda shop,kitu cha chop weka tuone,weka tuone.

Wengine wanafanya kazi pay ya kipuz waishi kama paka kuhemea.
Asubuhi kurupuka barabarani utazani wanarun dunia.
Malipo yao duni na kazi ngumu wala msoto wala msoto.
Ikifika mchana piga miayo hakuna menu hakuna menu.
Wanashushia maji wanakausha wala msoto wala msoto.
Jioni warudi home wako arosto wala msoto wala msoto.

Wengine ni maboss tena wadoss ni wala bata na wala kuku
.Waona wamepata kula vitamu wavuta shavu wavuta shavu
.Wote wapiga deal,vuta mpunga jineemesha jineemesha.
Wakishatumbuliwa wala msoto wala msoto,wala msoto.

Wengine viongozi wapiga zongo,chumia tumbo chumia tumbo
Watetea ya kwao madarakani ya kwetu yetu tutajijua
Wanaweka mikogo,na mashangingi si tunasota,si tunasota
Wakimbize vicheche,gawana ngoma
Tunawajua,tunawajua
 
Bila shaka utakuwa Msu **** Salary zetu zinakuhusu nini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe na mwenzangu aliyewithdraw bum lote apige nalo picha afu adeposit mnafanana.
 
Mshahara! akifungiwa senene shingoni anaruka nao, bila shida.
 
Back
Top Bottom