RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,806
- 2,723
Unapewaje ushauri na maskini na ww unasikiliza
Mtoa mada maskini afu anakushauri kuhusu mafanikio mbona ajafanikiwa yeye lakin pia una pewaje ushauri na mtu anae husisha maisha halisi na imani
Imani ni mambo ya kufikilika yasiyo kua na uhakika sasa mtu anakuletea imani zake afu ndo anahisi ndo maisha harisi
Watu wengi wanafeli maisha sababu ya mipango mibovu ila sio uzinzi
Matajili wote unao wajua dunian au ata hapa tanzania wana wanawake wengi na wana tembea na wanawake tofauti tofauti na ujawai sikia mawefilisiki
Ishu ni moja pesa inaitaji heshima bas hayo mambo ya uzinzi ni imani zako tu