STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Jamani changieni basi tujifunze na sisi wanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.
Wewe ni tajiri.Mimi kamtaji kangu ni 60m kwa siku nakunja 300,000 iliyosimama
Mimi kamtaji kangu ni 60m kwa siku nakunja 300,000 iliyosimama
Sababu nilichokua nakitaka nilikipata..na ndicho ninachokifanya Sasa..ile ilikua tu njia ya kufikia nilipo Sasa.Hivi mnachokaje jaman km unaingiza hela??.. Mie nimelazwaga mara 2...ukweli nilitoka kwa kushinikiza nikakakikisha namaliza dose na mlo mzuri...nikarudi kbaruani kama kawa..hapana jaman hela iheshimiwe!
Mm hapana aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibonge mvivu![emoji4][emoji4][emoji4]