Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.
IMG_20190902_230540_2.jpeg
 
Hakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
Mkuu hiyo 90k umetoa gharama za maji na umeme pamoja na posho kwa wafanyakazi.? Hiyo ni faida au mapato
 
Back
Top Bottom