Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

- vyumba vina vyoo ndani au vyoo vipo nje?
- ulitumia kiasi gani kuweka furnitures kama kitanda, viti, meza, TV, feni, neti na linen (mashuka, foronya)
- gharama ya umeme, maji, kufua mashuka, Kodi za serikali, mshahara ni kiasi gani kwa mwezi?
- unajaza vyumba vingapi (wastani) kwa siku?
Wasomi ndio maana biashara zinawashinda mna Mambo mengi km unga wa ngano .
 
Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
upo sahihi mkuu, mimi pia nafanya hizi shughuli. Huwa sikosi M 1.2
 
Mimi nilianza biashara hii kwa guest bubu ilikuwa na vyumba vitano tu.

Kwa siku walau kila chumba kilikuwa kinatengeneza 15 mpaka 20 kama ni siku nzuri.

Uzuri umeme nilikuwa natumia solar panels na maji nilikuwa natumia ya kisima ambacho nilichimba jirani.

Baada ya mwaka mmoja niliongeza vyumba vingine vinne vikawa 9 nikaboresha kidogo na vile vya mwanzo nilikuwa natengeneza pesa nzuri tu.

Sema baada ya kuisajili na huyu jamaa aingie madarakani turnover imepungua sana almost 30% ya mapato ya mwanzo.
Hakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
 
Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
How do you make it mkuu?... I wish sana kuwa na hii business....ila nina tigo pesa na mpesa tu....ila commision yake ni ndogo sana mkuu....tatizo nipo sehemu ambayo ni population less....dah hongera boss...sometimes nikiona kuna wanaofanikiwa napata moyo kwamba kama na ninyi mmeweza so hata kwangu inawezekana...mkuu naomba hata nipm your secrets of how you make it boss...please!
 
kama unataka biashara ya umachinga hiyo 30 kwa day inawezakana kaka tafuta chance karikoo mtaa wa congo mtaa wa msimbazi or agreey ukipata chance maana ziauzwa au kukodi mule barabarani.alafu uwe ata laki 8 mpaka m2 hiyo 30 unapata mapema sana biashara zipo nyingi kwenda kuchukua kwa wachina unatafuta kijana unamlipa kwa day.kukodi mule road inategemea kuna spece inategemea na location wanaanzia kwa siku 5000-15000.biashara mfano viatu all star au simpe zozote ukosi faida 2000 kwa pea moja ukichukua kwa mchina kuna jeans mashati t-shet au kama unajiweza kata mabegi ya mtumba.vijana wengi wa karikoo hilo eneo washajenga au wanajenga au utakuta anacho kiwanja ula ukiwaona utawaona kama wasio na kitu.unaweza ukafanya resech utaamini
Sio rahis mkuu, kuna jamaa angu hapo sidhani kama hata huwa anafikisha 10 per day
 
Hakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu. Halafu gesti yenyewe isiwe sehemu za kinokonoko,iwe na privacy ya kutosha.
 
Kwanini atoke Dar, je huko si ndio kwenye fursa za kumwaga
Hicho tu ndo kinawacost watu....nna shost amefirisika sn ss hv...namwambia oya toka dar njoo mkoani anakuambia manengelo siwez toka huku..anasema anakomaa na jiji..vocha tu nwdys inamshinda...unabak kumshanga ss unafanya nn huko!yote hyo ni hofu na woga...!nitaonekanaje....!kitu ambacho ni mbaya sna!...
 
Biashara nyngne inayolipa ni sales, nunua pikipiki yako then chukua Bidhaa kutoka kwenye maduka ya jumla zungusha mtaani, 30k faster tu, kama mtaji unaruhusu nunua kirikuu minimum profit apo 50k, ushawahi kujiuliza why hiz selling companies inakikirikuu tu na mtaji usiozidi 10m lakn wanamlipa salesperson 400k, wana HR, accountants,managers, madepartments kibao na wanawalipa handsomely, they pay bills kama rent kwa mamilion ya hela kwa hicho hicho kikirikuu?
 
Ni kweli,
Ila unahitaji kupata taarifa za haraka.
Unaweza kufika kariakoo ukakuta mashati ya Jumla yamemwagwa na yanauzwa kwa Bei ya Elfu tano.
Ukiyachukua na kuyapeleka mtaani unayauza kwa tsh 10 na yananunuliwa kwa haraka Sana.
Mashati ilikuwa ni mfano tu.
 
Nmemaanisha consuming products mkuu kama pipi, dawa za meno, mafuta ya kupaka, nido nk..

kuna bro alikuwa anafanya kazi company moja ya uuzaji walipomtimua alianza kuchukua mzigo k/koo anazungusha kwenye maduka ya mtaani.. 50k-100k+ per day ilikuwa kawaida sema wa bongo hatupendi ku'take risk alipaka kazi tena akaajiriwa
 
How do you make it mkuu?... I wish sana kuwa na hii business....ila nina tigo pesa na mpesa tu....ila commision yake ni ndogo sana mkuu....tatizo nipo sehemu ambayo ni population less....dah hongera boss...sometimes nikiona kuna wanaofanikiwa napata moyo kwamba kama na ninyi mmeweza so hata kwangu inawezekana...mkuu naomba hata nipm your secrets of how you make it boss...please!
Usikate tamaa mkuu, mpaka hapo ushajua tatizo lako, fight kupata location sahihi. Duniani hakuna biashara mbaya, ubaya wa biashara ni eneo tu.
 
Back
Top Bottom