TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Ni buashara halali na yenye baraka zote mkuu....ukitaka kunitembelea kujifunza unakaribishwa
basi hiyo ni biashara haramu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi hiyo ni biashara haramu tu
[emoji39][emoji39][emoji39].....!umeombwa useme unafanya nn mkuu!
Hiyo ya mikokoteni iko vizuri zaidi
Hivi mkokoteni mmoja unaweza kugharimu pesa kiasi gani mpaka kukamilika(matengenezo)
mkuu, inawezekana. Mimi pia nafanya hiyo business. mchawi ni location na usimamizi. kwenye goli nililoanzia uwakala tigopesa huwa napata hadi 700k+, m pesa 400k+ airtel 250k+, halopesa 80k+.How do you make it mkuu?... I wish sana kuwa na hii business....ila nina tigo pesa na mpesa tu....ila commision yake ni ndogo sana mkuu....tatizo nipo sehemu ambayo ni population less....dah hongera boss...sometimes nikiona kuna wanaofanikiwa napata moyo kwamba kama na ninyi mmeweza so hata kwangu inawezekana...mkuu naomba hata nipm your secrets of how you make it boss...please!
Kwenye porojo hata mimi naweza kuingiza laki 7 kwa siku. Achana na huyo comedian😋😋😋.....!umeombwa useme unafanya nn mkuu!
Black people share cigarettes and beers but never opportunities.
Mkuu jitahidi upate na uwakala wa mabenk utatusua sana. Nmb wako na tofauti ndogo sana na tigo pesa.mkuu, inawezekana. Mimi pia nafanya hiyo business. mchawi ni location na usimamizi. kwenye goli nililoanzia uwakala tigopesa huwa napata hadi 700k+, m pesa 400k+ airtel 250k+, halopesa 80k+.
sometimes baadhi ya wateja wa miamala mikubwa nawakataa ili nispate usumbufu wa cash na flot
Hamna mkuu, Mimi binafsi sishindi kwenye ofisi zangu nina vijana sita ila nimeweka mfumo wa ufuatiliaji hakuna anaezijua ofisi zangu kuliko mimi mwenyewe.Nimesoma comment zote kikubwa nilichogundua ambacho inaweza kuwa ni changamoto ni hii kauli kuwa " wew mwenyewe ndo uwe unafanya hyo kazi" yaani isiwe umeajiri mtu. Sasa kwa wanaokaa maofisin na wanamtaji wao watafanyaje
Unaonyesha unaongea kitu usicho na uzoefu nachoBodaboda wapi huko ikuingizie 30 kwa siku?. Sehemu nyingi naona wakipata sana 15
kama uko dar tembelea mtaa wa LINDI\MSIMBAZI hapo kwenye kona kuna bucha la nyama njoo uone goli mchawi location na bei tafuta chimbo la manunuzi ukija kuuza unavunja bei mkuuSio rahis mkuu, kuna jamaa angu hapo sidhani kama hata huwa anafikisha 10 per day
Hii uliifanyia eneo gani mkuu?Ngoja niwape udaku huu,nakumbuka miaka ya 2007 sikuwa na mtaji wa keshi isipo kua nilikua na ufundi wa simu,ambao nilifundishwa na jamaangu mmoja anaitwa masasi alikua fundi mzuri sana asie na uchoyo....wakati nikijifunza kazi hiyo ofcn kwake alikua akiingiza sio chini ya laki 1 mbaka zaidi hii ilini fanya nijitume kujua kazi hiyo vema.nilipo jua ndipo nikakopa vitendea kazi nikaanza kazi mdogo mdogo kwa kwwli elf 20 paday mbaka 40 sikukosa hapo ndipo nilipo tokea