Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute Kijana Muaminifu Tu Bro.Thanks mkuu in advance, noted,
Kalaghabaho mkuuKwenye porojo hata mimi naweza kuingiza laki 7 kwa siku. Achana na huyo comedian
Wala sikuonei wivu ..!nimetamani !mie pia ni hustler mzuri sanaAcha wivu mkuu
Kwanini atoke Dar, je huko si ndio kw!enye fursa za kumwaga
Hii kitu imenifikirisha sana mkuu, nina ka plot Dar. pembeni ya mji, nimewaza idea ya kujenga room sita kwa kuanzia kama guest rooms afu mbele nitengeneze room mbili moja kaunta kwa ajili ya open grocery room nyingine kwa ajili ya jiko, hii imekaaje ?
mkuu kuwekeza 10m kwenye uber au 7m kwenye bajaji then ukawa unakusanya 20k to 30k kwa siku huo ni udhaifu wa akili labda kama unaendesha mwenyewe, kwa mtaji huo mimi nakusanya zaidi ya 150k mpaka 300k per day kama faidaKama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea
Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000
Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k
Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani
Na log out
Hii kitu imenifikirisha sana mkuu, nina ka plot Dar. pembeni ya mji, nimewaza idea ya kujenga room sita kwa kuanzia kama guest rooms afu mbele nitengeneze room mbili moja kaunta kwa ajili ya open grocery room nyingine kwa ajili ya jiko, hii imekaaje ?
Nimeshajibu mkuu juu hapoJe mtaji kamili ni shilingi ngapi?
keep it up guys! Uzuri ni kwamba hakuna lisilokua na changamoto hata Kamari ina changamoto zake.
Asante mkuu kwa ushauri, naufanyia kazi.Utakuwa umepatia sana. Chamsingi zingatia sana privacy za wateja wako.
Guest zinaingiza hela nzuri zaidi kwa wateja wa short time kuliko wale wa kulala.
Short time hawatumii umeme mwingi na maji sana, mathalani kama uko kwenye mzunguko wa watu wengi kuna uwezekano chumba kimoja kikahudumia watu mpaka wanne kwa siku moja.
Mchana wateja wengi ni wake za watu na wale ambao hawana nafasi za kutoka majumbani usiku hawa privacy yao inatakiwa kuwa ya hali ya juu sana.
1 usiruhusu ujinga wa mtu kuja kufanya fumanizi
2 usiruhusu mlundikano wa watu wasioeleweka eleweka eneo husika
3 Hakikisha main entry na back door kwa wale wanaotaka strict privacy.
4 Hakikisha una vyumba walau viwili mtu anaweza ingia na asionekane kwa wenye vyumba vingine.
Thanks in advance.Wewe anzisha tu unaweza ukaanza na vyumba vitatu kisha ukaendeleza taratibu.
Asikwambie mtu chumba kimoja cha guest kinaweza kusomesha mtu mpaka chuo kikuu
Wala sikuonei wivu ..!nimetamani !mie pia ni hustler mzuri sana
Basi upo vizuri mkuu,endelea kukaza..maana maisha ni kama kuendesha baiskeli...ili upate balance inatakiwa uendelee kunyonga...songa mbele mkuu,soon utanipita