Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu, hata mimi ninao sita, ila walio SMART ni wawili tu na ndio ninaowalipa vizuri, wengine wana changamoto mara uvivu, dharula zisizo na msingi...Hamna mkuu, Mimi binafsi sishindi kwenye ofisi zangu nina vijana sita ila nimeweka mfumo wa ufuatiliaji hakuna anaezijua ofisi zangu kuliko mimi mwenyewe.
Kuna changamoto ya vijana ambao wako competent na wenye moyo wa kazi. Kila unapoajiri wanne unaweza pata mmoja, huyo unamtunza baada ya muda utakuta ofisi zimefanikiwa kuwa na vijana wenye ujuzi na waadilifu. Ukiajiri bora mtu ili umlipe kidogo na wateja watakukimbia tu hamna namna utayumba.
Kuna mtu aliwabi kuleta Uzi humu akasema ina cost kama 120,000 matengenezo
Ndo maana mzee unababua na kuchakata nyuchi kumbe unaingiza pesa si mchezo.Mkuu mbona unatoa siri ya kambi
[emoji16][emoji16][emoji16] Mjini shuleee mkuuNdo maana mzee unababua na kuchakata nyuchi kumbe unaingiza pesa si mchezo.
factBlack people share cigarettes and beers but never opportunities.
Balo zako waagiza kutoka wapi mkuu?Mimi nimeajiriwa na Serikali na hapohapo nafanya biashara ya Mtumba. ninaagiza beli/robota la nguo za mtumba hii inategemea wateja wangu kwa wakati huo wanahitaji nini, naweza kuagiza skert/mashati ya kiume/blause/gauni au nguo za watoto beli moja tu ambalo naweza kununua kwa laki 450-1,000,0000 inategemea ni mzigo gani nimeagiza.
Tuamshum nimeagiza nguo za watoto beli 1 Grade one (1) inaweza kuwa 600,000 pamoja na usafiri na hela ya kutolea ninayemtumia hela inafika 650,000. Kwanza ifahamike mimi sina frame, ninachokifanya mzigo ukifika naenda kuupokea nafungulia home, muda huo nakuwa nimeshawasiliana na wateja wangu kwenye magroup ya whattsapp ya Kazini na mengineyo kwahiyo nikifungua wateja tayari wapo wanachagua.
Zinazobaki nawasiliana na watu wa Ofisi nyingine nampa Boda 1000 najaza nguo kwenye begi mbili ambapo nakuwa nimezihesabu ananipeleka Ofisi flani wanachagua then wananiandikia majina na idadi ya nguo walizochuku. Baada ya hapo akirudi nacheki nguo namjazia tena nampa nauli yake naongea na mtu wa Ofisi nyingine ananipelekea tena huko.
Najikuta nauza nguo zote kwa muda mfupi sana ndani ya wiki nakuwa nimeshauza nguo zote ama zimebaki chache ambapo kwa beli la laki 600,000 nikiuza napata 1,300,000 au zaidi japokuwa biashara yangu niya kukopesha kwa mwezi. Hivyo ikifika karibia na mwisho wa mwezi naanza kuwakumbusha kwa sms. Inanilipa kwakweli namshukuru Mungu sitegemei mshahara, na kwa mwezi naweza leta mzigo mara mbili.
Huu Uzi nimejifunza kitu, wadada hawako nyuma ,safi sana
Usikaze kichwa mkuukusafiri hamna safari ya siku 1 tena kwa lori
hapa tunataka hesabu ya 30k ndani ya 12hrs za kuchapa kazi kimaukweliiiii
Sawa sawa usemayo,hata Uzi unaonesha hiviWadada saiv kwa upande wangu naona ndio wengi sana wanapambana...
Na mdada akipambana, kuna uwezekano mkubwa wa kufanikiwa zaid ya mwanaume tena kwa muda mfupi..
Kama una mke kichwa maisha utayapatia sana
Hahahaha, ki JF JF hivyo hivyo MkuuUmewajuaje ili hali kuna wenye majina na avatar za kike ila wanaume.
Mimi nimeajiriwa na Serikali na hapohapo nafanya biashara ya Mtumba. ninaagiza beli/robota la nguo za mtumba hii inategemea wateja wangu kwa wakati huo wanahitaji nini, naweza kuagiza skert/mashati ya kiume/blause/gauni au nguo za watoto beli moja tu ambalo naweza kununua kwa laki 450-1,000,0000 inategemea ni mzigo gani nimeagiza.
Tuamshum nimeagiza nguo za watoto beli 1 Grade one (1) inaweza kuwa 600,000 pamoja na usafiri na hela ya kutolea ninayemtumia hela inafika 650,000. Kwanza ifahamike mimi sina frame, ninachokifanya mzigo ukifika naenda kuupokea nafungulia home, muda huo nakuwa nimeshawasiliana na wateja wangu kwenye magroup ya whattsapp ya Kazini na mengineyo kwahiyo nikifungua wateja tayari wapo wanachagua.
Zinazobaki nawasiliana na watu wa Ofisi nyingine nampa Boda 1000 najaza nguo kwenye begi mbili ambapo nakuwa nimezihesabu ananipeleka Ofisi flani wanachagua then wananiandikia majina na idadi ya nguo walizochuku. Baada ya hapo akirudi nacheki nguo namjazia tena nampa nauli yake naongea na mtu wa Ofisi nyingine ananipelekea tena huko.
Najikuta nauza nguo zote kwa muda mfupi sana ndani ya wiki nakuwa nimeshauza nguo zote ama zimebaki chache ambapo kwa beli la laki 600,000 nikiuza napata 1,300,000 au zaidi japokuwa biashara yangu niya kukopesha kwa mwezi. Hivyo ikifika karibia na mwisho wa mwezi naanza kuwakumbusha kwa sms. Inanilipa kwakweli namshukuru Mungu sitegemei mshahara, na kwa mwezi naweza leta mzigo mara mbili.
Ama kweli vipi yule wa field kwenye kiwanda chako cha kuchakata viazi kuwa chipsi ?[emoji16][emoji16][emoji16] Mjini shuleee mkuu
[emoji16][emoji16] imebaki ni siri yetu mkuuAma kweli vipi yule wa field kwenye kiwanda chako cha kuchakata viazi kuwa chipsi ?
Mkuu una idea nzuri sana afu unazitoa bila choyo safi sana.jiamini maana hamna mwizi wa kukuibia TOROLI/MKOKOTENI wako
atauiba ataubebaje,ataenda uuza wapi? yani tengeneza yako 6 tu
itakukost kama 900k then laki iliyobaki kwenye ile 1M
nunulia MADUMU ya maji ya lita 20 madumu utapata 1 @ 5000
utanunua madumu 20 then ktk yale matoroli 6 chukua matoroli mawili
Yaweke madumu kila toroli liwe na madumu 8 then madumu yako ma 4 yawe reserve yatulize
ataetaka kukodisha toroli na madumu mpe bei yake na ataetaaka kodisha toroli bila madumu mpe bei yake
Kaa vuta kiti somewhere fanya biashara yyte ya kijinga hata ukikaa ndani ukfanya biashara ya online fresh
yani baada ya hapo ili usikae bure we tafuta cha kufanya simamia vitoroli vyako
DEAR MOTHER utanikumbuka siku 1
huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendajiMkuu una idea nzuri sana afu unazitoa bila choyo safi sana.
Mimi kamtaji kangu ni 60m kwa siku nakunja 300,000 iliyosimama