Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Kabisa, umenipa kitu moja madini sana,Mtafute Kijana Muaminifu Tu Bro.
Thanks in advance.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, umenipa kitu moja madini sana,Mtafute Kijana Muaminifu Tu Bro.
Kama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea
Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000
Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k
Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani
Na log out
Wadada saiv kwa upande wangu naona ndio wengi sana wanapambana...Huu Uzi nimejifunza kitu, wadada hawako nyuma ,safi sana
Mkuu PTER hiyo short time si inakuwa bei chini kuliko anayelala ama ileile?
Ningependa kujua kodi za serikali huwa kama kiasi gani kwa mwezi?
Ningependa kujua hii biashara ya kukodisha tents na viti kwa ajili ya shughuli mbalimbali,misiba etc
Gharama za kutengeneza hizo tents ama kama zinauzwa zikiwa tayari zinauzwaje?
Walau ziwe tatu zenye uwezo wa ku- accommodate watu 500 au 400 zote kwa pamoja.
Ahsante bosshiii siri natamani wanawake wenye mitaji wasiojua cha kuifanyia waijue
nilimpa X wangu hiii biashara katika vitu ananiambiaga "kwanini hatokaa anisahau,ni kumpa hii biashara"
biashara moja ambayo haijulikani na katika watu wote wataochangia huu uzi na watakaotoka na mawazo ya kuyafanyia kazi
hamna ataechukua hili wazo,ila kwa mwenye mtaji wa 1M na haina kazi ajaribu tu then aone balaa lake
Mtaani Wananiita BOSS MATOROLI au BOSS MIKOKOTENI
Inshallah,nataka nianze na 6 rooms pekee self ila mkoani.Inakuwa chini kuliko anayelala lakini inakupa wateja wengi na hawatumii huduma za msingi nyingi.
1 Mathalani mchana hawatatumia umeme sana kama usiku, maji pia ni hivyo hivyo
2 chumba kimoja kitasave watu zaidi ya mmoja kwa siku.
Wakati naanza mimi nilikuwa najidanganya sana kuwa watu wa kulala ndiyo nitatengeneza faida ila baada ya muda niligundua usiku hakukuwa na pesa kama mchana.
Ntashukuru Mkuu.Biashara hii ni nzuri ..kutengeneza tent sijajua gharama zake ila ntaulizia ntakupa feedback mkuu
jiamini maana hamna mwizi wa kukuibia TOROLI/MKOKOTENI wakoAhsante boss
Nitaifanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yna2 we mama mfatilize tu Beef Lasagna anawapiga tu msasa kina dada na kina mama
na wewe unataka anza mtuongezee idadi wa wazungu hapa TANZANIA...
go mama pambaneni ikifka 2025 TANZANIA yote ni ma afri cast rangi za mitume
Kuna mtu aliwabi kuleta Uzi humu akasema ina cost kama 120,000 matengenezoMe roughly kama sijakosea unacost 150,000~200,000 kutengeneza
nieleweshe baba labda sijakuelewa vizuriSiku hizi tigo pesa/mpesa na nyingine zote wanakata "withholding tax kabisa na kupeleka TRA kupitia Tin Number yako, sasa wewe potea tu lkn jua TRA watakusubiri tu mpaka utakapofika habari zako wanazo
inabidi uwe chibonge mwepesi aisee! ila upo vizuri avatar inajielezaInawezekana
Na kweli mkuu, wanaulizia sana NMB na CRDB , nilishaomba uwakala huo, CRDB wapo mbioni kunipa machine ya kazi ila NMB walinambia wamesitisha kwanza kutoa machineMkuu jitahidi upate na uwakala wa mabenk utatusua sana. Nmb wako na tofauti ndogo sana na tigo pesa.