Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

MKUU,

HILO SWALI SIO LA KIJINGA,
NI LA MTU MWENYE USONGO WA JIFUNZA FANI.
 
Mtwara Smart, Mkuu,

Pole sana kwa janga lililokukuta,
Nasisitiza pole sana.
Ulikuwa na nia ya kusaidia, Ila wema wako umekusababishia pigo.

Kinachonisikitisha zaidi NI kuwa HUYO mjinga aliyekuibia ametengeza mazingira magumu kwa wengine ambao wangenufaika kupitia wewe- kwani naamini kwa Sasa huwezi kumkaribisha mtu kwa ukiwa na amani na Imani kama ilivyokuwa awali.
 
CONTROLA, Sio rahisi ivyo bro ..maana sio Kila Siku watu wananyoa halafu pia location inamatter pia ..waweza eka saloon sehemu usiotee kichwa ata kimoja..

Ila ni vizuri zaidi kufanya..
 
Dada angu nipe connection uko ulipo nije.
 
Uliliona Swali Nililoulizwa Nikatoa Hill Jibu???
Kwenye biashara hatuzungumzii, wala relation kwa namna yoyote ile na ufalme wa mbinguni otherwise iwe charity business nami sijaulizia kwenye mkondo huo, nimeuliza how to make money in guest business.
 
Kwenye Biashara Yako Wewe, Yangu Mimi Binafsi Namtanguliza Mungu.

Kila Mtu Ana Strategy Take Ya Kuzid Kusimama Kwenye Game.

Yangu Ni Hiyo.

Asante.
 
Asante Na Ni Kawaida Bro, Mimi Huwa Naamin Kila Kitu Kinakujaga Kwa Reason.
 
Kwenye Biashara Yako Wewe, Yangu Mimi Binafsi Namtanguliza Mungu.

Kila Mtu Ana Strategy Take Ya Kuzid Kusimama Kwenye Game.

Yangu Ni Hiyo.

Asante.
Yaaap, nakubaliana na msimamo wako, ingawa nipo tofauti na wewe.
I agree to disagree.
 
Nauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
Ipoje hi nimfundishe wife
 
Mkokoteni mmoja shingap mkuu
 
Nmefanya hii kazi na kampuni Fulani apa Arusha, ni nzuri but ina risk sana aise..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…