Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
MKUU,Hujataka tu mkuu, nasema hivi, hujataka tu mkuu, mtu mwenye nia ya jambo huonekana, lakini pia siku nyingine ukiwa na shida jifunze kua mdogo , acha kuuliza maswali ya kijinga namna hii instead msumbue huyo mhusika na shida yako , atafika mahali tu ataguswa atakusaidia
HILO SWALI SIO LA KIJINGA,
NI LA MTU MWENYE USONGO WA JIFUNZA FANI.