Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Naombeni ushauri wadau kwani nataka kununua mashine ya kukausha matunda ili kutengeneza crisps niuze. Nimeona huku niliko kuna crisps za kutosha matunda tofauti kama maembe,mabasi,ndizi za kuiva nk.

Kama soko lipo songa mbele!
 
Naombeni ushauri wadau kwani nataka kununua mashine ya kukausha matunda ili kutengeneza crisps niuze. Nimeona huku niliko kuna crisps za kutosha matunda tofauti kama maembe,mabasi,ndizi za kuiva nk.
Nakushauri ungetafuta soko la uhakika kwanza, mashine za kukausha matunda ni bei .unaweza kuzika pesa ki masihara
 
Vya kukausha vinasoko huko kwa wenzetu, sasa inabd uwe umejipanga kukidhi viwango vyao ili ufanye exportation

Kuna kiwanda kilikuwepo maeneo ya dakawa moro...kilikuwa cha wazungu wlikua wnakausha hayo matunda karibia yote..hasahsa ndizi .mwee mbona wamefunga!wnaenda mwaka wa 3 ss..walikua wanaexport!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…