Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Naombeni ushauri wadau kwani nataka kununua mashine ya kukausha matunda ili kutengeneza crisps niuze. Nimeona huku niliko kuna crisps za kutosha matunda tofauti kama maembe,mabasi,ndizi za kuiva nk.

Kama soko lipo songa mbele!
 
Naombeni ushauri wadau kwani nataka kununua mashine ya kukausha matunda ili kutengeneza crisps niuze. Nimeona huku niliko kuna crisps za kutosha matunda tofauti kama maembe,mabasi,ndizi za kuiva nk.
Nakushauri ungetafuta soko la uhakika kwanza, mashine za kukausha matunda ni bei .unaweza kuzika pesa ki masihara
 
Back
Top Bottom