Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kile si walikuwa wanakausha Nyanya wale Waholandi?
Kuna kiwanda kilikuwepo maeneo ya dakawa moro...kilikuwa cha wazungu wlikua wnakausha hayo matunda karibia yote..hasahsa ndizi .mwee mbona wamefunga!wnaenda mwaka wa 3 ss..walikua wanaexport!
 
Nimekuomba mnoo unielekeze hii biashara mpka pm nimekuja ila kimya dada ,,msaada pls mwanamke mwenzio naadhirika
Katika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.
 
Kuna shule mwalimu mkuu nafahamiana nae
Nitamtafuta niongee nae ili nifanye
 
Miaka 3 nyuma nilienda kufata kuku wa business sehemu yule mwenyeji wangu akanipa idea hyo yaani yeye ndo mishe zake na ana good life mnooo....kanibembeleza sanaa ila mi nkachomoa sasa siku moja Niko kwenye mishe ingine nkakuta na afande mmoja hv nkamuelezea akanambia we fala kweli unnaachaje hela wewe piga mishe hyoooo inalipa vibaya mnooo..
Akaniomba namba za mshikaji yeye aingie kati kufanya Mimi nkajua utani bwana aliniganda mpk Mda huu nakuambia Afande anafanya business na yule jamaa wananiita muoga wa maisha
 


🤣🤣🤣!uwii kudakwa uwekwe ndan mama na familia dah noma mno🤣🤣🤣!
 
Duh ngoja nipambane mkuu uenda kuna siku nitamanya chimbo kama lako
 
Cheza na chips katika eneo zuri, ukiuza 100000 faida ni 50000 . Ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa. Usidharau kazi hata kama una degree , ning 'iniza hilo ganda ukutani ingia kazini utatoboa. Huhitaji suti na tai shingoni.
 
salaniatz, Additional nje studio yan mimi binafsi mana studio wapo vijana so muda mchana sikwamba napiga soga au kuranda mitaa. Niko huku
1.AdSense App
2.Whatsap Group
Hizi nikwa wale wadau wa movie walioko mbali
Hapo 22 members unatoa 3 mimi na washikaji zangu wa2 ndio sio wateja wengine 19 kila mmoja 5000 kwa mwezi 19 X 5000=95000 kwa mwezi makadirio ni kuongezeka sio kupungua.

Gharama za AdSense na WhatsApp
Nalipia 13000 app kila mwezi 66$ mwaka
Nalipia link za movie 12000 kila mwezi ( mimi sio dj so nauziwa)
Nalipia 22000 kila mwezi Google drive>2Tb
Nalipia 30000 kila mwezi bluehost>hosting
Jumla kwa kila mwezi 77000 maximize 80000 kila mwezi.

Sasa chukua
WhatsApp 95000 kwa mwezi
AdSense 800000+ kwa mwezi hupanda kila mwezi
Ofisi 3 kwa mwezi 1200000 ( studio/library) 40000/day
Jumla 2095000 maximize to 210000/month
Toa kod za frem zote 3 (50+70+80) 200000
1900000 remain take home iyooooo.....

Hapo sijaongelea kabisa ivyo vifaa vya simu chaja nk coz ndio nimeianza so cna makadirio yake exactly.

Kuna kipindi niliwahi kushare mauzo ya izo ofisi ikioshesha mauzo katika $ ila ni tsh sema program cjajua namna yakuibadili kuwa tsh but ninachokiangaliaga ni namba za pesa digits yan unakuta kwa siku nimejaza jumla ya mauzo $20000 lakini hii ni tsh sio $.

HIVI NI HATARI KUSHARE TAARIFA ZANGU KAMA HIVI....BAHATI MBAYA SINAGA UCHOYO KUSHARE KILE NINACHOONA NINAFANYA KATIKA HAZIRA YA WATU NAAMINI KILA MTU NA BAHATI YAKE...NIMEEHUDIA WATU WENGI WAKINISHANGAA KWA NINI NINAMOYO HUU KUTOA NONDO HIZI NA NAMNA NINAVYO FANYA BUREEEE BILA KUFICHA.KUNA MMOJA HADI AKAWA ANADUWAA ANASEMA WATU KAMA NI NINYI NIWACHACHE SANA.....

LABDA NA WEWE WAWEZA KUWA SHUHUDA WANGU KWA UCHACHE HUU INGEFAA NIFUNGUE UZI WANGU ONE DAY YES...ILA KWA MLIOKO MOROGORO KARIBUNI SANA 0713055107
Usinipigie simu kuniuliza juu ya haya ila nitafute ukiwa Morogoro tupeane ideas hasa za biashara iyo AdSense usiitamani.


 
namiimi naomba namba za mshikaji na afande ili niingie kati[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

japo naskia jela kubaaayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…