Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Naombeni ushauri wadau kwani nataka kununua mashine ya kukausha matunda ili kutengeneza crisps niuze. Nimeona huku niliko kuna crisps za kutosha matunda tofauti kama maembe,mabasi,ndizi za kuiva nk.

Fanya utafiti wa soko kiasi cha kutosha , waTZ hawana hulka ya kula matunda ya kukausha.
Sababu kubwa kwetu matunda fresh ni Karibu mwaka mzima kutokana na hali ya hewa ya nchi yetu.
Fanya utafiti ukijiridhisha ingia kazini.
Kila la Heri.
 
Hutegemea biashara unayofanya, mahali unapofanyia na namna unayofanya hiyo biashara. Binafsi nina mtaji mdogo lakini naingiza zaidi ys hiyo pesa kwa siku. Na kuna siku naingizs hadi 200,000 kwa siku. Ni biashara ya chakula. Sukari, unga wa sembe, mchele, mafuta, yaani chakula kwa jumla. Niifanyavyo biashsra yangu ndivyo nipatavyo faida. Coz mi nafanya delivery. Mteja ni kuniita kwa simu ninampelekea biashara kisha ananilipa nasepa.
Mwabzo nilihangaika kutafuta ajira hass baada ya kuhitim ila nilipopata wazo la biashara ukizingatia nilikuwa na hela ya boom basi nikaanza kazi. Hata nisikie kazi imetangazwa huwa nakunja sura na kudharau.
 
Hahaha
Hahah aisee kinakua kiwanda cha viambata vya sumu au kitaitwaje mzee baba?

Ila wangeruhusu tu, maana wanawake weusi wamepotea siku hizi yaani kumuona mwanamke mweusi ni kama kusubiri kuona nyeti za kuku ni mpk upepo upulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…