Hio hela 1M anaingiza kwa muda gani, mwezi au siku? Fafanua tuelewe ambao hatuifahamu hio biashara.
mods tunaomba mtuondolee huu ujinga katika mambo ya msingiBoss uwe makini na kauli zako kwa mambo ambayo huyajui kaakimya View attachment 1279299
pitia comments za nyuma
HILO NALO NI JANGA KWA KIASI FULANI,Naomba kuuliza. Je inafaa kumkabizi biashara yako ndugu ili awe amsimazi?
Unatumia method gan kudeposit?
Mtafute Kijana Muaminifu Tu Bro.
Unatumia method gan kudeposit?
Mkuu maelezo yapo clear, Yale ni malipo yangu au ndio faida yangu kwa mwezi husika. Sio mtaji.Mkuu umeelezea biashara hii kule mwanzo na kuweka attachment ya karatasi ya kuandikwa kwa mkono. Zile namba ni hela ya mtaji au ndio faida kwa mwezi. Naomba unifafanulie, nimehamasika sana na wewe.
Wacha! Biashara gani?
Asante mkuu.Mkuu maelezo yapo clear, Yale ni malipo yangu au ndio faida yangu kwa mwezi husika. Sio mtaji.
mimi nimeweka 3m tu kila section, ila uzuri wake ofs zipo karibu. so huwa wanaazimishana cash na floatsAsante mkuu.
Hapo mtaji unaweza kufika shilingi ngapi mkuu? Nisaidie kujua. Najua kuna mambo ya location.
Mimi ni MUKARUKA siyo Mkaluka wasu!Ujasiliamali tu mkaluka wanii
Line inapatikana kwa hela pia au ni kama hizi tu za kawaida ukiwa na 2,000/- unapata?mimi nimeweka 3m tu kila section, ila uzuri wake ofs zipo karibu. so huwa wanaazimishana cash na floats
line bure unapata katika ofisi zao au unaenda kwa mawakala wakuu, sharti uwe na documents ambazo ni copy ya leseni ya biashara yoyote, copy ya id yako na copy ya TIN ya TRALine inapatikana kwa hela pia au ni kama hizi tu za kawaida ukiwa na 2,000/- unapata?