Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Mkuu umeelezea biashara hii kule mwanzo na kuweka attachment ya karatasi ya kuandikwa kwa mkono. Zile namba ni hela ya mtaji au ndio faida kwa mwezi. Naomba unifafanulie, nimehamasika sana na wewe.
Mkuu maelezo yapo clear, Yale ni malipo yangu au ndio faida yangu kwa mwezi husika. Sio mtaji.
 
Ligaba,
Mkuu unaiongeleaje hizi printers ,copy na scanner ya color laser jet pro MFP M476dn na laser jet MFP M127fn, kwa shughuli izo.
 
I and myself,post: 33480833, member: 114808"]Kama una kazi nyingine arafu unataka ufungue biashara ya chips uweke mtu bila kumsimamia nakushauri ufikirie Mara mbili mbili hilo wazo lako mm binafsi nishalia sana na vijana wa chips na wame nipa hasara sana hadi nine fung yani ni pasua kichwa una kuta mtu kamaliza vitu vyote arafu hela ukimuliza hana ana kwambia bro biashara mbaya sana ina kuaje mbaya wakati chips zime kwisha mishkaki hakuna mayai yame kwisha yani basi tu[/QUOTE]

Goli lilikua wapi?
 
Mkuu maelezo yapo clear, Yale ni malipo yangu au ndio faida yangu kwa mwezi husika. Sio mtaji.
Asante mkuu.
Hapo mtaji unaweza kufika shilingi ngapi mkuu? Nisaidie kujua. Najua kuna mambo ya location.
 
Back
Top Bottom