Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

jiamini maana hamna mwizi wa kukuibia TOROLI/MKOKOTENI wako

atauiba ataubebaje,ataenda uuza wapi? yani tengeneza yako 6 tu

itakukost kama 900k then laki iliyobaki kwenye ile 1M

nunulia MADUMU ya maji ya lita 20 madumu utapata 1 @ 5000

utanunua madumu 20 then ktk yale matoroli 6 chukua matoroli mawili

Yaweke madumu kila toroli liwe na madumu 8 then madumu yako ma 4 yawe reserve yatulize

ataetaka kukodisha toroli na madumu mpe bei yake na ataetaaka kodisha toroli bila madumu mpe bei yake

Kaa vuta kiti somewhere fanya biashara yyte ya kijinga hata ukikaa ndani ukfanya biashara ya online fresh

yani baada ya hapo ili usikae bure we tafuta cha kufanya simamia vitoroli vyako

DEAR MOTHER utanikumbuka siku 1
Kwa hili nitakutafuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Belo huwa unachukulia wapi na je unachukua za mix gauni au aina moja nazo ni ndefu tuh.
Zinakuwa mchanganyiko ndefu na fupi zimefungwa pamoja. Nachukulia kwenye maduka ya mtumba Mnazi mmoja
 
Wakuu mm nimeanza na ufugaji wa kuku aina ya kroiler, wapo 30..

Vipi nikikomaa nao nitatoboa??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hongera komaa hao ni kuku au vifaranga? Mimi nilianza December na vifaranga 100 kroiler sasa HV vimebaki 82 ase changamoto ni magonjwa halafu Mimi vilidumaa nikamuita dkt. Alinipa ushauri mzuri kweli na kuwapa vitamin sa HV na confidence.
Cha msingi ni kuwapatia mahitaji ya msingi utatoboa ukizingatia kudhibiti magonjwa through chanjo,madawa usafi wa banda chakula na maji yabadilishwe Mara mbili per day zingatia chakula bora kwa ukuaji Mimi najipanga soon nikachukue feeding formula kila LA kher boss utafika napia ili uone faida kwa kuku fikisha 300+ at least
 
Hongera, endelea kupata uzoefu wa ufugaji. Jifunze pole pole ukiwa mzoefu ongeza kuku wengi sasa.

Hii biashara nimeifanya sana ila kwa sasa naona faida imekuwa ndogo, wanaotajirika ni wauzaji wa chakula, dawa n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mm nimeanza na ufugaji wa kuku aina ya kroiler, wapo 30..

Vipi nikikomaa nao nitatoboa??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kutoboa kwa kuku kugumu sana, labda ufanye kama kuongeza kipato na kupata chakula nyumbani kwako.

Sababu soko la mayai, nyama ya kuku linayumba yumba sana bei kuna wakati zipo chini, dawa pia ghali, chakula ndio usiseme.

Wanaopata faida ni wauza dawa, vifaranga, chakula, vyombo vya kuku kulia, kunywea maji n.k.

Nitalifanyia kazi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hongera komaa hao ni kuku au vifaranga? Mimi nilianza December na vifaranga 100 kroiler sasa HV vimebaki 82 ase changamoto ni magonjwa halafu Mimi vilidumaa nikamuita dkt. Alinipa ushauri mzuri kweli na kuwapa vitamin sa HV na confidence.
Cha msingi ni kuwapatia mahitaji ya msingi utatoboa ukizingatia kudhibiti magonjwa through chanjo,madawa usafi wa banda chakula na maji yabadilishwe Mara mbili per day zingatia chakula bora kwa ukuaji Mimi najipanga soon nikachukue feeding formula kila LA kher boss utafika napia ili uone faida kwa kuku fikisha 300+ at least

Shukrani sana kwa kunipa moyo..

Wana umri wa miezi mi nne, nilinunua wakiwa na miez mitatu..

Teyar nimewapa dawa ya minyoo, bado ya kideri, next week nawapa..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maduka yapo Manazi Mmoja opposite na kituo cha magari ya Tandika mpaka kufika Clock tower
ILA KWENYE HAYA MADUKA YA BALO ZA MTUMBA
NASIKIA WATU WANAPIGWA SANA.

UNAWEZA KUJILIPUA UKATOA LAKI 5 ZAKO ILI UPATE BALO LENYE T_SHIRTS KALI,

WANAKUPIGA CHANGA,
UKIENDA KULIFUNGUA-
BALO ZIMA UNAKUTA SOKSI ZA PUNDAMILIA NA CHUPI ZENYE ZIPU ZA MBELE NA NYUMA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoboa kwa kuku kugumu sana, labda ufanye kama kuongeza kipato na kupata chakula nyumbani kwako.

Sababu soko la mayai, nyama ya kuku linayumba yumba sana bei kuna wakati zipo chini, dawa pia ghali, chakula ndio usiseme.

Wanaopata faida ni wauza dawa, vifaranga, chakula, vyombo vya kuku kulia, kunywea maji n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
HAPO DAWA YAKE NI KUACHANA NA UFUGAJI KUKU
NA KUJIKITA KWENYE KUUZA dawa, vifaranga, chakula, vyombo vya kuku kulia, kunywea maji n.k

KAMA HUAMINI,
WAULIZE MODS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom