Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ukitaka kufuga kuku bila stress fuga kuku wa kienyeji tu.
Tena anza na makoo hata 10 tu na jogoo mmoja au wawili then endelea taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena anza na makoo hata 10 tu na jogoo mmoja au wawili then endelea taratibu
Mkuu hongera komaa hao ni kuku au vifaranga? Mimi nilianza December na vifaranga 100 kroiler sasa HV vimebaki 82 ase changamoto ni magonjwa halafu Mimi vilidumaa nikamuita dkt. Alinipa ushauri mzuri kweli na kuwapa vitamin sa HV na confidence.
Cha msingi ni kuwapatia mahitaji ya msingi utatoboa ukizingatia kudhibiti magonjwa through chanjo,madawa usafi wa banda chakula na maji yabadilishwe Mara mbili per day zingatia chakula bora kwa ukuaji Mimi najipanga soon nikachukue feeding formula kila LA kher boss utafika napia ili uone faida kwa kuku fikisha 300+ at least
Sent using Jamii Forums mobile app