Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ukitaka kufuga kuku bila stress fuga kuku wa kienyeji tu.

Tena anza na makoo hata 10 tu na jogoo mmoja au wawili then endelea taratibu
Mkuu hongera komaa hao ni kuku au vifaranga? Mimi nilianza December na vifaranga 100 kroiler sasa HV vimebaki 82 ase changamoto ni magonjwa halafu Mimi vilidumaa nikamuita dkt. Alinipa ushauri mzuri kweli na kuwapa vitamin sa HV na confidence.
Cha msingi ni kuwapatia mahitaji ya msingi utatoboa ukizingatia kudhibiti magonjwa through chanjo,madawa usafi wa banda chakula na maji yabadilishwe Mara mbili per day zingatia chakula bora kwa ukuaji Mimi najipanga soon nikachukue feeding formula kila LA kher boss utafika napia ili uone faida kwa kuku fikisha 300+ at least

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwape udaku huu,nakumbuka miaka ya 2007 sikuwa na mtaji wa keshi isipo kua nilikua na ufundi wa simu,ambao nilifundishwa na jamaangu mmoja anaitwa masasi alikua fundi mzuri sana asie na uchoyo....wakati nikijifunza kazi hiyo ofcn kwake alikua akiingiza sio chini ya laki 1 mbaka zaidi hii ilini fanya nijitume kujua kazi hiyo vema.nilipo jua ndipo nikakopa vitendea kazi nikaanza kazi mdogo mdogo kwa kwwli elf 20 paday mbaka 40 sikukosa hapo ndipo nilipo tokea
Kweli nimeamini hapo 'hakuna uchawi' ila ni bidii na kujituma tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwani hakuna mashamba yaliyolimwa mtu avune akauze si lazima alime yeye.
Mwezi huu huu kuna mtu nimrkutana naye kwenye mishe za kazi...ni hustler .kazichanga ..nikamuuliza ishu zake...hakunificha...akaniambia unataka kuwa milionea haraka?nikamwambia sema kwanza nijipime...akasema peleka mara 2 tu Burundi bangi..lima tabora!..hhahaa nikaishia ku[emoji134][emoji134][emoji134]!...akasema usizidi hapo...! ...uwiii[emoji1787] hapana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom