Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ighumbi toa credits kwa mtu uliyechukua hiyo makala kwake.
 
Hivyo vitoroli umetengeza sh ngap mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niulize tu hiyo float inamaanisha nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitushauri maeneo mazuri itakua Jambo Jem mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kwema
 
Kudos...! Naamini kuna deals zingine zitatokea kwa hii ishu yako..siku zote ukianza na kimoja kingine cha manufaa kitakuna tu..hongera boss
La kheri..nawaomba sana wapambanaji msife moyo kwani kunasiku sirudi nyumbani hata senti tano sijaweka na pia nimeshashindia mihogo na kandoro mno.last week nimeingiza kuku 15 ila hawajapafom ila skomi kwani ninatengeneza recipes ya Kentucky chicken
 
Changamoto ni lazima aisee...! So unauza na nyama za kuku!πŸ˜‹πŸ˜‹? Yes tengeneza formula yako ya spices! Km ya open kitchen ..
 
Mkuu kumbe upo πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…