Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

tatizo sisi wabongo tunapenda sana ma😉😉isha ya mteremko aka kitonga
 
Nimeanza hii shughuli kuanzia mwaka jana, ila mpka sasa kwa siku kuingia kuanzia 50,000 hadi 100,000 ni suala la kawaida kabisa. Karibu kama utahitaji muongozo na kama utapenda kuifanya nikupe zana zote kipindi hiki, haiitaji utoke ukutane na mteja, yaani kila kitu unamliza online. Karibu.





*STUDY MATERIALS FROM PRIMARY TO ADVANCE LEVEL.*

*FULL HOLIDAY PACKAGES FROM PRIMARY LEVEL TO ADVANCE LEVEL.* Whatsap/Call/sms 0752026992
Email: musabskilld@gmail.com

PRIMARY LEVEL ALL SUBJECTS.
1. Baby class.
2. Middle class.
3. Pre-unit
4. Standard 1 to standard 7.

ORDINARY - LEVEL ALL SUBJECTS
1. Form one.
2. Form two.
3. Form three.
4. Form four.
ADVANCE LEVEL ALL COMBINATIONS.
1. All science subjects (PCM, PCB, PGM, CBG etc)

2. All arts subjects (HKL, HGL, HGE etc)

Mzazi pia unaweza mchukulia mwanao.

Material yote yapo katika mfumo wa softcopy hivyo unaweza tumiwa kwa njia ya whatsap, telegram au email popote ulipo Tanzania.

Simu: 0752026992, Email: musabskilld@gmail.com.

*LESSON NOTES, BOOKS, QUESTION AND ANSWERS REVISON, SCHEMES OF WORK, PRACTICAL SOLVED QUESTION AND ANSWERS*

TANZANIA STUDY MATERIALS RESOURCE (PRIMARY LEVEL TO UNIVERSITY)

1. Complete notes from form one to form six all subjects.

BASIC MATHEMATICS, ADVANCED MATHEMATICS, BASIC APPLIED MATHEMATICS, CHEMISTRY, PHYSICS, BIOLOGY, GEOGRAPHY, ECONOMICS, HISTORY, KISWAHILI, GENERAL STUDY, ACCOUNTANCY, COMMERCE, COMPUTER, ENGLISH, CIVICS, BOOK KEEPING, ISLAMIC KNOWLEDGE, BIBLE KNOWLEDGE,

2. Past papers (Exams) with marking scheme (Primary level, O-level and Advance level)

TESTS, MOCK, NECTA, TERMINAL, ANNUAL, PRE-NECTA, PRE-MOCK EXAMS.

+255 752026992

3. COMPLETE SCHEMES OF WORK ALL SUBJECTS (Primary level, O-level and Advance level).

4. POWERPOINT NOTES.

5. LITERATURE ANALYSIS

(PASSED LIKE A SHADOW, UNANSWERED CRIES, SPARED, THE LION AND THE JEWEL, THREE SUITORS ONE HUSBAND, HOUSE BOY, THE CONCUBINE, ETC)

6. UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI RIWAYA, TAMTHILIA NA MASHAIRI (MALENGA WAPYA, WASAKATONGE, WATOTO WA MAMA NTILIE NA NYINGINE NYINGI)

7. TEXTBOOKS
(Primary level, O-level and Advance level)

BIOLOGY BOOK 2, BIOLOGY BOOK 3, BIOLOGY BOOK 4, PURE MATHEMATICS 1 & 2, CHAND 1 AND 2 PHYSISCS, MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA, LAMBERT CHEMISTRY, QUESTIONS AND ANSWER BOOKS, PRINCIPLES OF PHYSICS, TOPICAL REVISION BOOKS, 1300 MATHS FORMULAS NA VITABU VINGINE VINGI PIA VINAPATIKANA
.
Kwa wamiliki wa *stationary* , *shule* , *website* na *waalimu* ambao watahitaji library nzima, yaani vyote vilivyo katika tangazo hili na mengine tunaweza wasiliana pia.

8. QUESTION AND ANSWERS REVISON PAMPHLETS (Primary level, O-level and Advance level)

9. Solved practical Questions and answers form one to form six,
physics, chemistry and biology.

Whatsap 0752026992

Material yote yapo katika mfumo wa softcopy hivyo unaweza tumiwa kwa njia ya whatsap, telegram au email popote ulipo Tanzania.

Kwa wale ambao wangependa tukutane, tunapatikana Ubungo, Dar es salaam.

Simu: 0752026992, Email: musabskilld@gmail.com.

Kwa wamiliki wa *stationary* , *shule* , *website* na *waalimu* ambao watahitaji library nzima, yaani vyote vilivyo katika tangazo hili na mengine tunaweza wasiliana pia.
 

Hapa inamaana utaniuzia hizo material?
 
Unaongeza kdg mkuu na maduka ya mtaani yanajua bei zake min and Max price
NMeifanya hii kitambo kidogo miaka ya 2014 na 15.......Andaa mwongozo wa bei zako na bidhaa then tengeneza business kadi jibrand kama kampuni.....Kwa bei fanya utafit kwanza kisha unashuka kidogo ili kupata wateja kwanza............Then sambaza kwenye maduka ambayo utaweza kuyaudumia......!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina boda boda mbili zinanipatia 20,000 per day. Mpaka sasa bado sijaonja mbichi ya hii bizne sijui huko mbeleni. Nimepanga hadi December nafunga mwaka na boda nane.
Kikubwa nilichobaini ni kuwajali hawa boda yaani usiwe siriaz sana siku aki dash we chukulia poa mwambie Ata adjust next day. Yaani ukiwa boss poa utaenda nao sawa tu.
 
Mkuu hii biashara ukiwauliza watu humu wanakatisha sana tamaa eti bodaboda ni pasua kichwa

Kiuhalisia kumbe sio, mimi tangu januari ninayo inaniletea hesabu ya 8000 kila siku
Kikubwa ni kuwa boss tu akidash siku moja mbili atajazia tu siku za mbele na kazi inaenda poa
Mwenyewe hapa natamani niongeze boda ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii biashara baada ya muda si itajifunga yenyewe? Namanisha Wanafunzi watakuwa wanatumiana hayo materials wao kwa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…