Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Screenshot_20200504-031448~2.png

Screenshot_20200504-031522~2.png
 
Ila na sometimes kuwa poa sana nako kunaleta shida sana mkuu wakikuzoea
Nina boda boda mbili zinanipatia 20,000 per day. Mpaka sasa bado sijaonja mbichi ya hii bizne sijui huko mbeleni. Nimepanga hadi December nafunga mwaka na boda nane.
Kikubwa nilichobaini ni kuwajali hawa boda yaani usiwe siriaz sana siku aki dash we chukulia poa mwambie Ata adjust next day. Yaani ukiwa boss poa utaenda nao sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya mikokoteni iko vizuri zaidi
Hivi mkokoteni mmoja unaweza kugharimu pesa kiasi gani mpaka kukamilika(matengenezo)@Fighter23,
Laki na nusu mpaka laki na 80. Mie ninao ila hauna matairi. Ntakuuzia 130.
 
Hivi hii biashara baada ya muda si itajifunga yenyewe? Namanisha Wanafunzi watakuwa wanatumiana hayo materials wao kwa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, njia ninayotumia ni tofauti kidogo katika kuwafikia walengwa hivyo haiwezi athiri sana soko langu, tofauti na hilo sihudumii watu wa eneo moja, hii kitu naifanya ndani ya Tanzania nzima na Afrika mashariki kiujumla.

Kinachoniletea matokeo ni marketing strategy boss, huwa nafikiria kwa upana sana katika kuwafikia wahusika.

Kuna kundi la wanafunzi, waalimu, wazazi, wamiliki wa shule, wamiliki wa websites, wafanyabiashara wa moja kwa moja na wamiliki wa stationary.

Wote hao nawafikia kwa njia tofautitofauti.

It's all about creativity boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara ilikuwa biashara kweli enzi za Msabila na Nyambari

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ni biashara mpaka sasa boss. Utofauti ni katika utafutaji masoko. Ukipata njia nzuri ya kupata wahitaji ni rahisi sana na ina matokeo makubwa sana.

Wahitaji bado wapo, hata mpka miaka mingine ijayo bado watakuwepo wahitaji, watu wanamaliza shule na wengine wanaingia, so ni kitu endelevu maana wanafunzi kila mwaka wanakuja wapya.

Not easy until done.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila na sometimes kuwa poa sana nako kunaleta shida sana mkuu wakikuzoea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kucheza na saikolojia yao tu mkuu, wengi wanadhani wanadharauliwa kwakua wao ni bodaboda so ukiwakalipia wanadhani ni mmoja wao hapo watakuulia chombo chako makusudi kesho watakuletea mkweche wako nyumbani wakati washapata pikipiki nyingine. so kua boss poa inamfanya ajisikie chombo ni yetu wote na wanaitunza kwelikweli.
 
Tupe mchanganuo chief

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kama kuna mtu anahitaji maelezo anaweza kunicheki kwa muda wake ila sema kweli, hii comment yangu imezua maswali mengi kwa baadhi ya wadau.

Ila niwahakikishie kuwa pesa ipo kama ukiamua kuisaka. Mimi nilikuwa mtu wa kulaumu sana na kuona aibu kufanya baadhi ya kazi kwan waliokuwa wanazifanya walionekana kama watu wa chini sana. Hata ukiangalia mavazi yao n ya ajabu ajabu kwa wengi wao. Ila nikajaribu kazi moja wapo. Kweli kabsa sijajuta make naona malengo zangu naanza kuzipatia njia. Nifanya kwa mtaji mdogo sana yani kuanzia 6000 mpaka 20000 tu napata faida ya mpaka 15000 kwa siku. Afu ni kwa masaa tyu. Kufikia saa 7 mchana unakuta nipo getto navuta pumzi tu. Saiv nimeanzisha na mradi wa kufuga kuku japo nimeanza kwa mtaji mdogo but baada ya muda nitaongeza.

Vijana wenzangu hasa wa maisha ya kawaida naomba tusichague kazi. Biasha haihitaji mtaji mkubwa sana but utayari wako na juhudi zako.
 
Nadhani weka hapa kwa faida ya wengi, hilo la kila mtu kukufata kwa muda wake sio poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendaji

so nafungukaga tu hata siogopi maana najua wanajua kuitikia wameelewa ila hawataki kuingia ktk utendaji

wengi ni waoga na wachagua fursa.

Mkui nakuelewa sana nikipata mtaji wa kutosha nita ku pM
 
Watu wengi huwa ni waoga sana kutake risk na ndio hutufanya kushindwa kufanya biashara na kubaki nyuma.
Hata mimi nilikuwa hivyo siku za nyuma lakini siwafichi kuna kipindi nilikaa nyumbani mwaka mzima sina kazi lkn hii biashara ya bodaboda ndio iliniokoa kupata pesa za chakula na kusolve matatizo mengine madogo madogo.
Kwa hiyo naiheshimu na siwezi kuidharau hata kidogo.
Mkuu mimi nilikua muoga zaidi yako

Jitoe tu, risk zipo kila sehemu

Nunua chombo utafute bodaboda mzoefu na anayeaminika kijuwe fulani mpe kazi akutafute dereva mzuri..usikurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara pasua kichwa,utakuwa unatumia akili nyingi sana halafu output kidogo hata aliyefungua banda la chipsi anaweza akakuzidi income.
Naongea hivi kwa vigezo vifuatavyo
1.Watoto wa siku hizi ni wavivu wa kujisomea,sisi tuliosoma miaka ya 2005 kushuka chini tulikuwa na morale sana ya kusoma bila kubembelezwa,imagine mtu alikuwa anatokea Bunju au Kibamba kwenda hadi mchikichini au Buguruni kutafuta materials ya kujisomea.
2.Technology inakuwa kwa kasi sana kiasi kwamba mtu akiwa na smartphone ana uwezo wa kupata any materials kwa gharama ya bundle hata la sh.500.
Hivi hii biashara baada ya muda si itajifunga yenyewe? Namanisha Wanafunzi watakuwa wanatumiana hayo materials wao kwa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi, ninaendelea vyema na biashara ya maziwa ila kuna changamoto ya vifaa.ninauhitaji wa lactometer law ajili ya kupima ubora wa maziwa..thermometer ya kupima kiwango cha uchemkaji wa maziwa. Kitchen gloves hasa zile za colourless..nimeshindwa kuzunguka maduka mengi ya kariakoo kutokana na ufinyu wa muda..kwani nafungua saatatu asubuh nafunga sasita za usiku
 
Attachments

  • Screenshot_20200511-210053_Chrome.jpg
    Screenshot_20200511-210053_Chrome.jpg
    29.2 KB · Views: 52
  • 20200512_214835_mfnr.jpg
    20200512_214835_mfnr.jpg
    54.5 KB · Views: 55
  • Screenshot_20200511-205829_Google.jpg
    Screenshot_20200511-205829_Google.jpg
    43.5 KB · Views: 60
Habari wanajamvi, ninaendelea vyema na biashara ya maziwa ila kuna changamoto ya vifaa.ninauhitaji wa lactometer law ajili ya kupima ubora wa maziwa..thermometer ya kupima kiwango cha uchemkaji wa maziwa. Kitchen gloves hasa zile za colourless..nimeshindwa kuzunguka maduka mengi ya kariakoo kutokana na ufinyu wa muda..kwani nafungua saatatu asubuh nafunga sasita za usiku
 
Attachments

  • 20200425_160545.jpg
    20200425_160545.jpg
    99 KB · Views: 60
  • 20200427_140314.jpg
    20200427_140314.jpg
    90.8 KB · Views: 58
  • 20200425_160539.jpg
    20200425_160539.jpg
    113.1 KB · Views: 50
  • 20200421_204210.jpg
    20200421_204210.jpg
    73.9 KB · Views: 47
  • 20200502_200839.jpg
    20200502_200839.jpg
    58.7 KB · Views: 55
  • 20200427_153804.jpg
    20200427_153804.jpg
    114.9 KB · Views: 55
  • 20200422_164630.jpg
    20200422_164630.jpg
    131.1 KB · Views: 57
  • 20200502_200823.jpg
    20200502_200823.jpg
    65.2 KB · Views: 50
  • 20200427_144849.jpg
    20200427_144849.jpg
    113.3 KB · Views: 52
Mkuu hongera sana.
Nimependa nilichoona.
 
Back
Top Bottom