Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hongera mkuu.
Ujasiriamali mgumu sana hasa kipindi hiki.
Kuona mtu anafanya kitu kikasimama si mchezo.
Nafikiri hujasema milk point iko wapi wadau tuje tukuunge mkono.
Naona kuna mpaka al kasusu [emoji12]
Hizo ni baadhi ya kazi zetu
 
Pr
 

Attachments

  • Screenshot_20200515-025407.png
    Screenshot_20200515-025407.png
    42.1 KB · Views: 48
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
Unashindwaje kutaja hapa? huu ndio uswahili wenyewe. Uaona ukitaja kama vile watu watakuwa wengi alafu wewe faida itapungua hahahahah😀😀
 
Mim nadeal na kitimoto aise kila nikiuza kila 10 faida yake ni 40000 kwa vile mm nitanunua kwa mchinyajiji buku 5 kwa kilo mim nitauza kwa elfu 9000 kwa kilo hvyo huwa nikiuuza kilo 30 kwa siku ckozi faida ya laki moja kwa siku mtaji wa kilo 30 ni laki na 50 hvyo ikipata ofc au pahala hakikisha anzisha business hii laki kwa siku mim huwa ni kawaida ...nawasilisha kama unaitaji maelezo zaid check me DM /pm nitakupa abcd
Mkuu nahitaji kujua zaidi kuhusu hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hatakuelewa,

Ila mda ukifika atakukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha,Niko karantini ujue,hiyo Ni njia ya kupass time huku unaingiza dolali,,ujue kuna scam na wapo wanaotoa kweli pesa,na njia ya kujua Ni kwenda nao Hadi minimum amount ya ku cash out ikifika ndo utajua uliingia kwenye scam au no
 
Back
Top Bottom