Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hongera mkuu.
Ujasiriamali mgumu sana hasa kipindi hiki.
Kuona mtu anafanya kitu kikasimama si mchezo.
Nafikiri hujasema milk point iko wapi wadau tuje tukuunge mkono.
Naona kuna mpaka al kasusu [emoji12]
Hizo ni baadhi ya kazi zetu
 
Pr
 

Attachments

  • Screenshot_20200515-025407.png
    42.1 KB · Views: 48
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
Unashindwaje kutaja hapa? huu ndio uswahili wenyewe. Uaona ukitaja kama vile watu watakuwa wengi alafu wewe faida itapungua hahahahahπŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu nahitaji kujua zaidi kuhusu hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hatakuelewa,

Ila mda ukifika atakukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha,Niko karantini ujue,hiyo Ni njia ya kupass time huku unaingiza dolali,,ujue kuna scam na wapo wanaotoa kweli pesa,na njia ya kujua Ni kwenda nao Hadi minimum amount ya ku cash out ikifika ndo utajua uliingia kwenye scam au no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…