Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Unafanya biashara gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Equity kwenda Skrill dakika sifuri, unakwama wapi mkuu
 
Mkuu kila mkoa kuna fursa zake sasa nikikwambie business ambayo nafanya afu ukute ata mkoan kwako haipo mkuu
Sasa kilicho leta makalio yako hapa ni nini ?? Umesoma heading ya uzi ? kama hauko tayari kusema unachofanya n nn kimekuleta hapa ? Swala la biashara kufanyika mkoa A na kutofanyika mkoa B linahusiana nn na maswali ya wadau ? wamewekewa gundi mikoa waliyopo kwamba hawawezi hama wakafuata fursa ?.. akili za kimasikini hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Je hawa watu wameruhusu picha zao kuwekwa mtandaoni?


It is never too late to begin. Start now
 
Ni biashara gani hiyo?
Umetoa tu maelezo na hujaitaja
Itaje watu wajifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa uko kama wale wa biashara za network sijui forever blah blah
Watu wanakuuliza biashara gani unatoa maelezo huitaji hiyo biashara, sasa maelezo yako yanawasaidiaje?
MTU kufanya au kutofanya katika mazingira yake ni hiyari yake wewe taja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.... Mbona biashara hatari sana hiyo

Ubaya wa vocha ni kama sigara tu

Mzigo mwepesi lakini hela ndefu,

Watu wakimjulia maisha yake yatakuwa hatarini

Sent using Jamii Forums mobile app
vocha faida yake ni vi mia mia,hadi upate lak uzunguke kweli labda wale agents wanaweza kuwa wanapiga faida kubwa sababu mitaji yao ni mamilioni
 
Mkuuu napenda kweli kujua Ni fursa gan hiyo unafany labda na mm nianzie hapo huku nikiendelea na fursa zingne


Sent using Jamii Forums mobile app
 

ndugu naomba mawasiliano yako kama hutojali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…