Umomi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 677
- 986
Pia biashara bila mtaji n sawa na kaz bureeeehahaah mkuu acha mikwara,tulia tu hapa usome comments za watu unaweza okoteza wazo la biashara ukapata pa kuanzia na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia biashara bila mtaji n sawa na kaz bureeeehahaah mkuu acha mikwara,tulia tu hapa usome comments za watu unaweza okoteza wazo la biashara ukapata pa kuanzia na wewe
ona huyuPia biashara bila mtaji n sawa na kaz bureeee
huu ndo uzuri wa jf,maburi kufukuliwa ni dk sifuri tuView attachment 1452427hamna kitu hapo angalia malalamiko yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
sawa mzee baba...but tulia tu hapahapa utapata wazo la biasharaWewe man life is dynamic. Kwahyo kulia kwa cku moja cyo kwamba utalia cku zote
sawa mzee baba...but tulia tu hapahapa utapata wazo la biashara
Mzee baba tatzo cyo kumwagika ila mko tayari? Je, ktk mazingira yenu mlipo mnaona hizo fursa na mtakubaliana na macho ya watu? Mi mpaka saiv najiuliza kuwa kwann sikuanza zamani japokuwa bado nipo masomoni ila likizo hii ya Corona ndio nimeingia kupiga hizo biashara. Mpaka sasa nina kama mwezi na cku nikiwa nafanya hiyo biashara ila naona dira kabsa.
Mwanzo nilikuwa naogopa sana ila saiv nimezoea sasa na faida ninayoipata nawekeza katika vitega uchumi vingine kama ufugaji ila msimu wa kulima ukianza najua nitakuwa na mtaji wa kutosha wa kukodi shamba na kulima.
Vijana wenzangu niwambie tu ukweli kuwa tanzania bado fursa zipo mie hii kauli nilikuaga napingana nayo sana ila baada ya kuanza kuingiza pesa kwa sh 7000 kama mtaji na napata kuanzia 5000 kwa cku saiv ata naandika hapa nikiwa na furaha kabsaaaaa. Kama leo niwambie ukweli nilitumia 13,000 nikaingiza faida ya Tsh 10,800 tena ndani ya saa 6 nilikuwa nimerudi home nikaanza kulisha kuku wanguuuuu.
Tujitume vijana mie nilikuaga n wa kulaumu hata ukifatilia nyuzi zangu nyingi ila saiv mpaka rahaaa.
Mkuu kila mkoa kuna fursa zake sasa nikikwambie business ambayo nafanya afu ukute ata mkoan kwako haipo mkuu
Hahaaah nimemng'ang'ania sababu dogo alikuja kwa mbwembwe sana,kumbe dogo anapenda na wamama watu wazima😂😂😂Mkuu umemng'ang'ania .hahaaa .....! Huyu dogo jinsi navyomsomaga ana akili ya biashara akiamua atasimama kbs sema anaendekeza wamama watu wazima na bia! Kufeli nje nje!
hahaaah nimemng'ang'ania sababu dogo alikuja kwa mbwembwe sana,kumbe dogo anapenda na wamama watu wazima😂😂😂
Ila niseme kweli Jamiiforomus ndo inmenifanya saiv napata hiki kidogo ninacho ingiza kwahyo cyo mbaya kuendelea kupata mawazo yenu. Ni kweli ukiangalia nyuz zangu nilikuwa nalaumu but saiv nasema hata Mungu ananiona naridhika na nikipatacho kwa siku naingiza ata 8,000 kidogo maisha naona nimeanza upya tofauti na kipindi nimeanza likizo ya Corona. Niliona kitaa hakufai kabsaaaasawa mzee baba...but tulia tu hapahapa utapata wazo la biashara
Ni kweli kabsa mkuu kama hapa napanga niende zangu mitaa fulan hapa mwanza nikapige konyagi moja ya 4000 afu nichukue na jimama 1 ili kesho nianze kaz akili ikiwa imetulia tuliiiiiMkuu umemng'ang'ania .hahaaa .....! Huyu dogo jinsi navyomsomaga ana akili ya biashara akiamua atasimama kbs sema anaendekeza wamama watu wazima na bia! Kufeli nje nje!
dahhh, kumbe ni mwanachuo anayelala ndani tu anatupotezea muda[emoji2]View attachment 1452427hamna kitu hapo angalia malalamiko yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli kabsa mkuu kama hapa napanga niende zangu mitaa fulan hapa mwanza nikapige konyagi moja ya 4000 afu nichukue na jimama 1 ili kesho nianze kaz akili ikiwa imetulia tuliiiii
😂😂😂wamama watu wazima na bia!
Mkuu maisha yanadilika, kwan mwanachuo ndiye analala? Boss n kwamba napambana na ipo cku pia nitapata ajira rasmi kwahyo maisha yanabadilika uckalilidahhh, kumbe ni mwanachuo anayelala ndani tu anatupotezea muda[emoji2]
Sawa. Ila sasa nakuwaje na wivu na mtu ambaye hana hata gheto anatafuta pa kulala...Mkuu maisha yanadilika, kwan mwanachuo ndiye analala? Boss n kwamba napambana na ipo cku pia nitapata ajira rasmi kwahyo maisha yanabadilika uckalili
Acha wivuuuu
Hahahahahah! Mi ctafuti pakulala mkuu nina gheto mkuu labda linaweza kuzid ata lakoSawa. Ila sasa nakuwaje na wivu na mtu ambaye hana hata gheto anatafuta pa kulala...
Hahahahahah! Mi ctafuti pakulala mkuu nina gheto mkuu labda linaweza kuzid ata lako
[emoji23][emoji23][emoji23] umesahau futuru leoIla wewe bado mtoto sana dah sijji ina guts gani kutongoza mama zako..andika yako tu unaonekana mtoto kbs! Ila pambana..una spirit fulan