Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ngoja niwape udaku huu,nakumbuka miaka ya 2007 sikuwa na mtaji wa keshi isipo kua nilikua na ufundi wa simu,ambao nilifundishwa na jamaangu mmoja anaitwa masasi alikua fundi mzuri sana asie na uchoyo....

Wakati nikijifunza kazi hiyo ofcn kwake alikua akiingiza sio chini ya laki 1 mbaka zaidi hii ilini fanya nijitume kujua kazi hiyo vema.nilipo jua ndipo nikakopa vitendea kazi nikaanza kazi mdogo mdogo kwa kwwli elf 20 paday mbaka 40 sikukosa hapo ndipo nilipo tokea
Vipi mkuu bado unaendelea na hii fani au uliacha baada ya kutoboa kimaisha?!
 
Uzi ulikua unaenda vizuri huyu kirusi anaanza kuunyea halafu nyie mna mu entertain.

Back to the subject. Mimi nimetumia siku tatu kusoma uzi mzima na niwashukuru Woote mliochangia na mlionichekesha pia.

Nitaingia kwa drawing board nifanye mambo
So far nimetoka na mambo hayo attached chini.

Out of curiosity @waangari maathai wewe ni Ke sio? I had that impression for long hapa jf ila ulipokua unabishana na huyo kirusi mchafua uzi sijui kwa nn nikabadilisha mawazo. Nisamehe km nitakua nimekubandika gender isio yako😉

Sorry boss., alitufurahisha!👊
 
Mzee baba tatzo cyo kumwagika ila mko tayari? Je, ktk mazingira yenu mlipo mnaona hizo fursa na mtakubaliana na macho ya watu? Mi mpaka saiv najiuliza kuwa kwann sikuanza zamani japokuwa bado nipo masomoni ila likizo hii ya Corona ndio nimeingia kupiga hizo biashara. Mpaka sasa nina kama mwezi na cku nikiwa nafanya hiyo biashara ila naona dira kabsa.

Mwanzo nilikuwa naogopa sana ila saiv nimezoea sasa na faida ninayoipata nawekeza katika vitega uchumi vingine kama ufugaji ila msimu wa kulima ukianza najua nitakuwa na mtaji wa kutosha wa kukodi shamba na kulima.

Vijana wenzangu niwambie tu ukweli kuwa tanzania bado fursa zipo mie hii kauli nilikuaga napingana nayo sana ila baada ya kuanza kuingiza pesa kwa sh 7000 kama mtaji na napata kuanzia 5000 kwa cku saiv ata naandika hapa nikiwa na furaha kabsaaaaa. Kama leo niwambie ukweli nilitumia 13,000 nikaingiza faida ya Tsh 10,800 tena ndani ya saa 6 nilikuwa nimerudi home nikaanza kulisha kuku wanguuuuu.

Tujitume vijana mie nilikuaga n wa kulaumu hata ukifatilia nyuzi zangu nyingi ila saiv mpaka rahaaa.
Unazunguka sana weka vitu watu wajifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona porojo nyingi, eleza hiyo biashara
 
Usisikilize sauti za watu wa nje yako sikiliza sautu inayo toka ndani mwako na ifanyie kazi.ifahamike mimi kwa sasa namiliki nyumba 5 hata kama ni za kawaida lakini chanzo ni ufundi wa cm namiliki duka la spare paty za pkpk chanzo ni ufundi cm acheni kujidanga eti kunauchawi hakuna ni fikira za kijinga kabisa tufanye kazi
 
Back
Top Bottom