Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa


Mkuu ikibidi funguka kuhusu ulifikaje hapo changamoto ulizopitia..na kwanini unasema hakuna uchawi??
Cc@GIRITA
 
Mr naweza pata mawasiliano yako
 
Nimelipenda hili kalipio just like mkuu wa shule flani .... Hahaha kupitia huu uzi nimejifunza vingi na kurefesh sana.
 
Nimesoma idea nyingi mno humu watanzania tuna mawazo mazuri ambayo ukiyaweka kwenye vitendo unafika mbali sana.vijana tuache kulalamika na mimi nilikuwa mmoja wao ila uthubutu wangu nilishawai kuj humu jamii forums kuomba mtaji lakin kun baadhi ya raia waliona km tapeli nisiye na muelekeo lkn kuna mtu simjui hanijui aliniamini na nikamlipa uaminifu sasa hivi tunasonga ktk biashara ya miamala.si haba maisha yanaenda
 
Mzee baba nawezaje kukupata?
 
Changamoto zake ni zipi? Nataka nijitose huko mkuu
 


Naiheshimu hii KAZI.
Akijaga kijana na degree zake ofisini dizaini anahitaji huduma kidharau alafu kama hajui KISWAHILI.

Huwa namshukuru tu Mungu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…