Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama kuna mtu anafahamu wapi napata mashine ya kutengeneza bahasha za kaki, A3, A4, A5 na zile.ndogo kabisa za kufungia dawa, anisaidie.
 
Mkuu nitakutafuta unipe darasa.
 
Nimekuelewa mku, me pia nilikuwa fundi wa computer mzuri tu, nikachukuliwa na kampuni furani kufanya kazi ila badaye wakanidhurumu malipo yangu ya mwaka mzima, nilipodai zaidi wakasema lete mikataba, na nilifanya kazi kilafiki tu sikuwa na mikataba, nilipotea mazima kwenye fani hiyo nikabadiri kazi
 
Ndio biashara yangu kwa sasa namshukuru Mungu kwa muda mfupi nimeona nuru, kwa sasa nipo mapumziko nimechia mfanyakazi anapambana , kuanzia march Mungu akitupatia uzima narudi kivingine kabisa , kuanzia uandaaji mpka kutafuta oda ,
 
Naomba kujua bei ya apple sasa hapo mivinjen mana mhh huku kariakoo sio poa
 
Wakuu habari? Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kukodisha matorolii au guta imekaaje hii..wataalamu naomba msaada nipo DSM.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…