Hee nawe ulipiga kumbe, safi sana
Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%
Ya kupunguza uzito nimechukua juzi, ndio najaribu nione, nina kama kopo 7 tuMimi ndo inayoniweka mjini
Pia nimeongeza na dawa ya kupungua uzito
Basi napiga mzigo wa watu huku nakula mafao
Ya kupunguza uzito nimechukua juzi, ndio najaribu nione, nina kama kopo 7 tu
Tuibie siri ya kambi basi, nachotengeneza mwenyewe ni hiyo lotion.. Ila hii ya uzito nanunuaMi natengeneza mwenyewe kitu [emoji91][emoji91]
Ninafuraha kusoma hivi 😊Uliniokoa madam
Sasa hivi nauza mkorogo wangu mwenyewe nachanganya na product za Thailand na Dubai
Aisee wanawake wanapenda hivi vitu silali njaa pesa naiona
Soon nahamia kwenye serum Ila kupata EO imekuwa shida
Ninafuraha kusoma hivi [emoji4]
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.
Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
ooohooooooooooo niliweka tangazo muda mrefu ila nitalifufua tena usijali bestMbona hausemagi?
Nichek tarehe 12 nahitaji keki
Nina vitabu kama vyote ila simalizagi hata page 2. Ila JF hata thread yenye page 3000+ namaliza[emoji848]Ukiniambia nisome kitabu Cha page 120 sijui how to make money in **** aisee siwezi Yan hata page 3 lakini kwenye uzi wa jf wenye page 72*20 sawa na kurasa 1,440 aisee nasoma ilimradi iwe n jinsi ya kutengeneza pesa.
Wanasema Biashara ya ajabu ajabu ndio inayolipa kulipa vizuri Sana hvyo Basi kwavile nimesoma ideas na uhalisia wa watu Field basi nisichelewe kusema yakuwa nimepokea na kuboresha ideas chache hvyo tukutane road nakuja kuwaaribia huko uswahilini.
NOTE: Jinsi ya kupata mafanikio Ni Siri lakini jua mafanikio hayana Siri. Maisha yako siyo Shule/Zahanati ya Kijiji kila mtu anatakiwa kuchangia Bali maisha yako n wewe na juhudi zako binafsi ndo mafanikio yako tofauti na hapo utakuwa mlalamishi kila Jambo.
Amka Anza kuchukua hatua Sasa.
HapanaUlifanya? (Mkorogo)?
Hv mkorogo hauchubui?Mkorogo una hela
Siku hizi tunaita kung’aa bila kujichubua
Bro ushanunua fuso?Vipi maendeleo
Mm nlichukua mda mrefu kufanya maamuzi afu "Nkaishia kutoamua kabisa"[emoji848]Hee nawe ulipiga kumbe, safi sana
Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%
Mm nina shda hyo[emoji848] ila namba yako nshapotezagaNinafuraha kusoma hivi [emoji4]
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.
Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
Sawa mpendwaNakutumia no yangu tuchekiane please si unajua mambo ya kuchange Simu Napoteza mawasiliano
EehMm nlichukua mda mrefu kufanya maamuzi afu "Nkaishia kutoamua kabisa"[emoji848]
naitaji kujifunza kutengeneza perfum na mafuta ya nazi bestNinafuraha kusoma hivi 😊
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.
Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
Sawa mpendwa karibuMm nina shda hyo[emoji848] ila namba yako nshapotezaga
Karibu dearnaitaji kujifunza kutengeneza perfum na mafuta ya nazi best
unapatikana wapi dearKaribu dear
mafunzo yako ni online au kwa vitendo tuonane bestKaribu dear