Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hee nawe ulipiga kumbe, safi sana

Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%

Mimi ndo inayoniweka mjini
Pia nimeongeza na dawa ya kupungua uzito

Basi napiga mzigo wa watu huku nakula mafao
 
Mimi ndo inayoniweka mjini
Pia nimeongeza na dawa ya kupungua uzito

Basi napiga mzigo wa watu huku nakula mafao
Ya kupunguza uzito nimechukua juzi, ndio najaribu nione, nina kama kopo 7 tu
 
Uliniokoa madam

Sasa hivi nauza mkorogo wangu mwenyewe nachanganya na product za Thailand na Dubai

Aisee wanawake wanapenda hivi vitu silali njaa pesa naiona

Soon nahamia kwenye serum Ila kupata EO imekuwa shida
Ninafuraha kusoma hivi 😊
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.

Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
 
Ninafuraha kusoma hivi [emoji4]
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.

Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia

Nakutumia no yangu tuchekiane please si unajua mambo ya kuchange Simu Napoteza mawasiliano
 
Ukiniambia nisome kitabu Cha page 120 sijui how to make money in **** aisee siwezi Yan hata page 3 lakini kwenye uzi wa jf wenye page 72*20 sawa na kurasa 1,440 aisee nasoma ilimradi iwe n jinsi ya kutengeneza pesa.

Wanasema Biashara ya ajabu ajabu ndio inayolipa kulipa vizuri Sana hvyo Basi kwavile nimesoma ideas na uhalisia wa watu Field basi nisichelewe kusema yakuwa nimepokea na kuboresha ideas chache hvyo tukutane road nakuja kuwaaribia huko uswahilini.

NOTE: Jinsi ya kupata mafanikio Ni Siri lakini jua mafanikio hayana Siri. Maisha yako siyo Shule/Zahanati ya Kijiji kila mtu anatakiwa kuchangia Bali maisha yako n wewe na juhudi zako binafsi ndo mafanikio yako tofauti na hapo utakuwa mlalamishi kila Jambo.

Amka Anza kuchukua hatua Sasa.
Nina vitabu kama vyote ila simalizagi hata page 2. Ila JF hata thread yenye page 3000+ namaliza[emoji848]
 
Hee nawe ulipiga kumbe, safi sana

Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%
Mm nlichukua mda mrefu kufanya maamuzi afu "Nkaishia kutoamua kabisa"[emoji848]
 
Ninafuraha kusoma hivi [emoji4]
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.

Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
Mm nina shda hyo[emoji848] ila namba yako nshapotezaga
 
Ninafuraha kusoma hivi 😊
Eo kuna mdada anauza bei yake nzuri tu..insta anaitumia jina manucato.

Na kama unakua na shida ya kutengeneza serum karibu pia
naitaji kujifunza kutengeneza perfum na mafuta ya nazi best
 
Back
Top Bottom