Ukiniambia nisome kitabu Cha page 120 sijui how to make money in **** aisee siwezi Yan hata page 3 lakini kwenye uzi wa jf wenye page 72*20 sawa na kurasa 1,440 aisee nasoma ilimradi iwe n jinsi ya kutengeneza pesa.
Wanasema Biashara ya ajabu ajabu ndio inayolipa kulipa vizuri Sana hvyo Basi kwavile nimesoma ideas na uhalisia wa watu Field basi nisichelewe kusema yakuwa nimepokea na kuboresha ideas chache hvyo tukutane road nakuja kuwaaribia huko uswahilini.
NOTE: Jinsi ya kupata mafanikio Ni Siri lakini jua mafanikio hayana Siri. Maisha yako siyo Shule/Zahanati ya Kijiji kila mtu anatakiwa kuchangia Bali maisha yako n wewe na juhudi zako binafsi ndo mafanikio yako tofauti na hapo utakuwa mlalamishi kila Jambo.
Amka Anza kuchukua hatua Sasa.