Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama hutaojali, tupe breakdown ya mtaji wa kuanzia, sio wa kuendeshea
 
Habari mkuu, naomba kuuliza. Hivi mashine nzuri za kutengeneza lambalamb/ice-cream hizi za Miamia his zinauzwa wap? Au hupatikana maeneo gani? Mimi nipo Dar temeke @ cleverman324
 
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
mfano wauza juice ya miwa , mtaji hauzidi 5m lakini faida yake kwa siku kama location ni nzuri ni zaidi ya 50k
 
Tupeane hzo business ideas ndugu zang mana bila ss kujikwamua hakuna serikali yakutuwezesha kufkia ndoto zetu kimaisha.... Mostly tunataman kupata idea ya business zisizo na investment capital kubwa lakin pia income per day walau 30k kama mada inavyodokeza.....
 
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
Mifano tafadhal ndugu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…