Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Mim nadeal na kitimoto aise kila nikiuza kila 10 faida yake ni 40000 kwa vile mm nitanunua kwa mchinyajiji buku 5 kwa kilo mim nitauza kwa elfu 9000 kwa kilo hvyo huwa nikiuuza kilo 30 kwa siku ckozi faida ya laki moja kwa siku mtaji wa kilo 30 ni laki na 50 hvyo ikipata ofc au pahala hakikisha anzisha business hii laki kwa siku mim huwa ni kawaida ...nawasilisha kama unaitaji maelezo zaid check me DM /pm nitakupa abcd
Kama hutaojali, tupe breakdown ya mtaji wa kuanzia, sio wa kuendeshea
 
Katika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.

Habari mkuu, naomba kuuliza. Hivi mashine nzuri za kutengeneza lambalamb/ice-cream hizi za Miamia his zinauzwa wap? Au hupatikana maeneo gani? Mimi nipo Dar temeke @ cleverman324
 
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
mfano wauza juice ya miwa , mtaji hauzidi 5m lakini faida yake kwa siku kama location ni nzuri ni zaidi ya 50k
 
Tupeane hzo business ideas ndugu zang mana bila ss kujikwamua hakuna serikali yakutuwezesha kufkia ndoto zetu kimaisha.... Mostly tunataman kupata idea ya business zisizo na investment capital kubwa lakin pia income per day walau 30k kama mada inavyodokeza.....
 
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
Mifano tafadhal ndugu....
 
Back
Top Bottom