rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Biashara gan mkuu???Mm naingiza kati ya 25 hadi 50 daily toka mwaka 2021 Agosti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara gan mkuu???Mm naingiza kati ya 25 hadi 50 daily toka mwaka 2021 Agosti
Kama hutaojali, tupe breakdown ya mtaji wa kuanzia, sio wa kuendesheaMim nadeal na kitimoto aise kila nikiuza kila 10 faida yake ni 40000 kwa vile mm nitanunua kwa mchinyajiji buku 5 kwa kilo mim nitauza kwa elfu 9000 kwa kilo hvyo huwa nikiuuza kilo 30 kwa siku ckozi faida ya laki moja kwa siku mtaji wa kilo 30 ni laki na 50 hvyo ikipata ofc au pahala hakikisha anzisha business hii laki kwa siku mim huwa ni kawaida ...nawasilisha kama unaitaji maelezo zaid check me DM /pm nitakupa abcd
Funguka mkuu kuna mtu sehem fulan keshakata tamaa utakua umemsaidiaMm naingiza kati ya 25 hadi 50 daily toka mwaka 2021 Agosti
Tatizo humu ndani ndio hilo, watu wanatoa faida wanazoingiza per day, hawatoi mchanganuo wa pesa anayowekeza.Funguka mkuu kuna mtu sehem fulan keshakata tamaa utakua umemsaidia
Unafanya biashara gani mkuu, funguka hapa iwe ni faida kwa wote?,??Mm naingiza kati ya 25 hadi 50 daily toka mwaka 2021 Agosti
Katika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.
Habari mkuu, naomba kuuliza. Hivi mashine nzuri za kutengeneza lambalamb/ice-cream hizi za Miamia his zinauzwa wap? Au hupatikana maeneo gani? Mimi nipo Dar temeke @ cleverman324Katika biashara2za mashuleni unatakiwa uwe mbunifu wa kuteka akili za watoto kama core customers wako. Ice cream inalipa sana mashuleni nunuamachine utengeneze ice cream zuri alafu uza kwa jumla letsay 70 ili muuzaji wa mwisho auze100. Changamoto ni kuwa walimu wengi wameona fursa kwa hiyo kama unafanya biashara ya shule uwe na chanel na walimu. Kwani wao huendesha biashara kwenye vile vibanda vinavyozunguka shule.
[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ni Bepari
mfano wauza juice ya miwa , mtaji hauzidi 5m lakini faida yake kwa siku kama location ni nzuri ni zaidi ya 50kHaina ukweli hii...
Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...
Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
Hata wanaotengeneza kucha,mtu anaitumia mtaji hata wa elfu30 tu,ila kila siku siku analaza elfu20 na kuendeleamfano wauza juice ya miwa , mtaji hauzidi 5m lakini faida yake kwa siku kama location ni nzuri ni zaidi ya 50k
Nenda mqgomenj mapipa ulizia utapata.Habari mkuu, naomba kuuliza. Hivi mashine nzuri za kutengeneza lambalamb/ice-cream hizi za Miamia his zinauzwa wap? Au hupatikana maeneo gani? Mimi nipo Dar temeke @ cleverman324
Shukran sana mkuuNenda mqgomenj mapipa ulizia utapata.
Tupe connection mkuu.Mimi mshahara wangu ni 250k tu ila nje ya hapo ninaingiza 20k-80k per day mambo yakichanganyia. Niko Mafinga,wilaya ya Mufindi nashinda pori nasimamia shughuli ya uchanaji mbao.