Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Tupe connection mkuu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wakuu mimi nikipata chances siwezi kuwabania, naelewa hali halisi ya mtaa hasa ukiwa na kipato finyu.
Sina muda mrefu sanaaa huku,pia muda mwingi niko bize ila najitahidi kadili niwezavyo kushare fursa zozote ambazo zitajitokeza huku.

Ila huku Mafinga Viwanda ni vingi,hivyo mtu kwa kuanzia anaweza kuanza na hizo kazi. Mshahara wao ni kuanzia 250K kwa baadhi ya viwanda.
Hata mimi nilikuja kwa lengo hilo ila mtu alienipa hifadhi akanishauri nimrudie Boss wetu wa zamani ambae niliwahi kufanya nae kazi nikiwa kama tingo kwenye maroli yake,japo ilikua ni kwa muda mfupi.
So,huyo boss ndie alienipa hii kazi ya usimamizi.
 
Jamani tunaomba Breakdown ya Bucha la nyama ambalo mtaji hauzidi M2
Mkuu bucha kwa mtaji wa 2m ni ishu ngumu mnooo

Utabidi upate frem, uirekebishe, ukaguliwe na mamlaka, ununue mizani, machine au kigogo cha kukatia nyama, umlipe mfanyakazi, upige zile marumaru buchani bado uwe na mtaji wa ng'ombe wa kuchinja au ujumue nyama ambyo Mara nying haina faida hasa ikilala hupungua uzito, ununue friza,

Mkuu nisikudanganye 2m kwa bucha itapotea bure hiyo hela
 
Sawa sawa
 
Makundi ya Whatsapp ya ushauri wa kiafya na urembo. Japo si sana mwaka huu kwa kuwa nimeconcentrate kwingine, hapo nyuma wastani kwa mwezi ilikuwa ni mil 4. Maximum effort nakumbuka tuliingiza mil 10 katika mwezi. Hata sasa hivi ambapo ni minimum effort inaingiza laki 6 kwa mwezi profit kwa product moja tu bila paid ads.
 
Thank you CONTROLA be blessed man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…