Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Umesema?
 
[emoji23][emoji23]
 
Imagine mtu unawekeza 15m au hata 12m kwny biashara ya duka profit yake ni chini ya 30k per day au mara moja moja 30k, 35k _40k....wakat huo nakuta mtu anapga debe anapata 30k au hata 50k per day, mwngine genge tu anakunja hyo 30k na kuendelea per day....

Hii mifano kdgo na mingine mlonayo simple....kwamba low investment capital na anapata zaid yako mwnye uwekezaj mkubwa......tadhal ndugu wana Jf tupeane mbinu na ideas za biashara nzur ynye mataj mdogo na hesab ya walau 30k na kuendelea kwa siku......

Karibuni wandugu.........
 
Aseeeee kbsa
 
Hv wap ntapata hizi bahasha za kufungia bidhaa kama chips(sio za kaki) n.k kwa jumla hapa dar??
 
Mkuu itategemea na wewe uko wapi na una uzoefu kiasi gani?

Wanao kunja 30K kwa mtaji mdogo au wasio na mtaji kabisa wapo lakini sasa kwa wao sio kila siku hukunja hivyo.

Ila kwa wale wenye mtaji wa 12m wao kila siku watakunja na watakunja zaidi sana ipo siku, kazi yao inawapa amani na wanacollateral kwamba anaweza kukopa akaendeleza biashara au kukuza mtaji kutokana na fursa anayo ona kwenye biashara aliyo nayo.
 
Kuna ukwel hapa kias.....shukran
 
Nauliza ni unakuwa wakala au unanunua then unaza Kwa watu wa madukani Kwa order.
 
Mimi Nina tabia ya kudouble my investment au capital na Ninajua kuspot opportunity za kutimiza hayo... Mfano Kuna mwaka nilikuwa na million 5 nikasema nataka nipate 20 million kwa miezi kadhaa.

Nilianza kwa kudouble ile million 5 ikafika 10m then nikadouble ikawa 20 baada ya hapo nikaanza kula maisha.

Nikiwa kwenye process za kudouble pesa huwa Sina utani na nakuwa focused saana.

Sifanyi biashara yeyote ya million 12 nipate faida ya 30k hata kama itakuwa consistent... Siwezi kufanya huo upuuzi. Nikiwa na million 12 najipa miezi miwili na siku kumi tu kwa ajili ya kudouble my capital.
 
How brother! ndio maana ya huu uzi
 

mbon uelewek mkuu au una bet unatafuta mech yenye odd 2 unatia mzigo?
 
Mkuu ni mbinu gani unazotumia hasa ili kudouble hyo investment???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…