Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,680
- 2,779
Umesema?Makundi ya Whatsapp ya ushauri wa kiafya na urembo. Japo si sana mwaka huu kwa kuwa nimeconcentrate kwingine, hapo nyuma wastani kwa mwezi ilikuwa ni mil 4. Maximum effort nakumbuka tuliingiza mil 10 katika mwezi. Hata sasa hivi ambapo ni minimum effort inaingiza laki 6 kwa mwezi profit kwa product moja tu bila paid ads.