Hakuna mtu alietajirika kwa kubet.... Lazma ujue Namna ya kusaka hela consistently kwenye channel zake... Kubet hata ukipata billion utafilisika tu sababu bado hujajua channels za pesa.
Teremka pale msimbazi kituo cha mwendo kasi upande ule wa vipodozi wanakuwepo pale nje ya maduka wanauza kibao afu bei poa tu.Hv wap ntapata hizi bahasha za kufungia bidhaa kama chips(sio za kaki) n.k kwa jumla hapa dar??
Biashara gani mkuuMimi Nina tabia ya kudouble my investment au capital na Ninajua kuspot opportunity za kutimiza hayo... Mfano Kuna mwaka nilikuwa na million 5 nikasema nataka nipate 20 million kwa miezi kadhaa.
Nilianza kwa kudouble ile million 5 ikafika 10m then nikadouble ikawa 20 baada ya hapo nikaanza kula maisha.
Nikiwa kwenye process za kudouble pesa huwa Sina utani na nakuwa focused saana.
Sifanyi biashara yeyote ya million 12 nipate faida ya 30k hata kama itakuwa consistent... Siwezi kufanya huo upuuzi. Nikiwa na million 12 najipa miezi miwili na siku kumi tu kwa ajili ya kudouble my capital.
Kama ni halali hawezi isema.Biashara gani mkuu
Nani atasema kafanikiwa kwa ndumba wewe🤣🤣🤣🤣Nadhan kwasabab weng wameamua kutofunguka....kumwaga siri za mafanikio
Unafata ile formula ya Madam B kama ilivyo au umejiongeza? mimi niliongezea vitu kama shea butter na oilsHee nawe ulipiga kumbe, safi sana
Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%
Mimi natengeneza bidhaa kama body butters, face cream na serums vyote natural. Sasa wateja asilimia fulani wanasumbua jamani wanataka kung’aa nimejitahidi kuwapa elimu na umuhimu wa kutumia bidhaa natural kwa ajili ya kutunza ngozi zao hawaelewi kitu so imebidi nianze kutengeneza mkorogo niwape kitu wanataka. Formula ya Rumaiya niliogopa nilivyoona kuna mayai na maziwa,natumia formula ya Madam B nikajiongeza kidogo na shea butter na oils . Natamani kufahamu zaidi madam Hornet 🙏Mkorogo una hela
Siku hizi tunaita kung’aa bila kujichubua
Fafanua vizuri mkuuBiashara ya tofari za block ,ukiwa mjanja kwenye hii busines utauza milioni 1 mpaka 4m kwa siku kwa wastani, kikubwa mtaji, customer care na usimamizi. Talking from experience not theoretically
nb'. Pesa utakayoipata zidisha 2/3=faida
Naomba hiyo Dawana dawa ya kupungua uzito
Tupe elimu mkuuMi natengeneza mwenyewe kitu [emoji91][emoji91]
Hii si inahitaji mtaji mkubwa?!Biashara ya tofari za block ,ukiwa mjanja kwenye hii busines utauza milioni 1 mpaka 4m kwa siku kwa wastani, kikubwa mtaji, customer care na usimamizi. Talking from experience not theoretically
nb'. Pesa utakayoipata zidisha 2/3=faida
Mtaji sio chini ya 50mHii si inahitaji mtaji mkubwa?!
Huwa naitamani ila duuuh kipengele!Mtaji sio chini ya 50m
Keep it up bro unawezaHuwa naitamani ila duuuh kipengele!