Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hakuna mtu alietajirika kwa kubet.... Lazma ujue Namna ya kusaka hela consistently kwenye channel zake... Kubet hata ukipata billion utafilisika tu sababu bado hujajua channels za pesa.

funguka basi mkuu watu bado hatuja kuelewa kaka maneno yko km siasa wakati mifumo y pesa haiitaj siasa mkuu
 
wakuu samahan kwa wazoefu wa mkoa wa pwani na Moro ni vjij vp naweza pata nazi na ndimu kw huakika?
 
Hv wap ntapata hizi bahasha za kufungia bidhaa kama chips(sio za kaki) n.k kwa jumla hapa dar??
Teremka pale msimbazi kituo cha mwendo kasi upande ule wa vipodozi wanakuwepo pale nje ya maduka wanauza kibao afu bei poa tu.
 
Mimi Nina tabia ya kudouble my investment au capital na Ninajua kuspot opportunity za kutimiza hayo... Mfano Kuna mwaka nilikuwa na million 5 nikasema nataka nipate 20 million kwa miezi kadhaa.

Nilianza kwa kudouble ile million 5 ikafika 10m then nikadouble ikawa 20 baada ya hapo nikaanza kula maisha.

Nikiwa kwenye process za kudouble pesa huwa Sina utani na nakuwa focused saana.

Sifanyi biashara yeyote ya million 12 nipate faida ya 30k hata kama itakuwa consistent... Siwezi kufanya huo upuuzi. Nikiwa na million 12 najipa miezi miwili na siku kumi tu kwa ajili ya kudouble my capital.
Biashara gani mkuu
 
Hee nawe ulipiga kumbe, safi sana

Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%
Unafata ile formula ya Madam B kama ilivyo au umejiongeza? mimi niliongezea vitu kama shea butter na oils
 
Mkorogo una hela

Siku hizi tunaita kung’aa bila kujichubua
Mimi natengeneza bidhaa kama body butters, face cream na serums vyote natural. Sasa wateja asilimia fulani wanasumbua jamani wanataka kung’aa nimejitahidi kuwapa elimu na umuhimu wa kutumia bidhaa natural kwa ajili ya kutunza ngozi zao hawaelewi kitu so imebidi nianze kutengeneza mkorogo niwape kitu wanataka. Formula ya Rumaiya niliogopa nilivyoona kuna mayai na maziwa,natumia formula ya Madam B nikajiongeza kidogo na shea butter na oils . Natamani kufahamu zaidi madam Hornet 🙏
 
Biashara za mazao zinalipa sana hasa Kama unakaa sehem za karibna vijijini..
Unaanza taratibu na mtaji hta wa 500,000.
Mfno. Wakati kwa kuvuna mpinga gunia kwa shmbn huwa 30000/ tu kwa gunia la debe 6.

Kwa laki 5 unaeza pta gunia 16-17 utachukua utasalisha had mjini.

Unaeza koboa kweny kila gunia utatoa debe 2.5 za Michele ambapo kila debe unaeza kuuza kuanzia 65k hd 70k.

Unakua umetengeneza faida ..hpo
 
Biashara ya tofari za block ,ukiwa mjanja kwenye hii busines utauza milioni 1 mpaka 4m kwa siku kwa wastani, kikubwa mtaji, customer care na usimamizi. Talking from experience not theoretically
nb'. Pesa utakayoipata zidisha 2/3=faida
 
Fafanua vizuri mkuu
 
Hii si inahitaji mtaji mkubwa?!
 
Back
Top Bottom