Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Mimi nina beti na sioni haya kumwambia mtu maisha yangu yanategemea betting kwa kiasi kikubwa.

Kwa siku natafuta odds 2 - 4 naweka mpunga wa kutosha mfn 50k - 100k nakula kuanzia 100k - 400k Faida yangu huanzia 50k - 300k.

KUMBUKA: siku hazifanani, sio kila siku nakula, naweza liwa kila siku kwa wiki nzima. Ila namshukuru Mungu hasara napata ila sijawahi kupunwa kila siku kwa wiki nzima.

Nikipunwa siku mbili mfululizo natulia hata siku nne ndo naendelea kama kawa.

Vile naweza kula kila siku kwa wiki nzima, ishanitokea na hunitokea mara kwa mara.
 
Hii ni sehemu ya kupeana machimbo,hizi comments zinaishi, kwanini usiweke hapa kwa faida ya wote?
Sidhani kama kuja PM ni vigumu kama mtu ana shida. Waliokuja PM kuna niliowapeleka, kuna niliowatumia namba direct, kuna niliowaelekeza bila malipo au kuomba kitu chochote. Ushuhuda watatoa hapa. Na maana yangu kuwaambia waje PM ni hiyo. Mimi siko vizuri kwenye kukariri mitaa ya Kariakoo na kumuelezea mtu, najua njia tu, mtu kuwasiliana kwa ukaribu inakuwa rahisi.
 
Kila la kheri
 
Natamani nianze hii bzness ya perfume, pia unaweza share ni perfume za aina gani unauza ,ni zile za kupima au za kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera japo story yako ina relate na mtu alienipiga
 
mimi janja janja huwa naingiza kuanzia elfu 30, kazi zenyewe za hovyo sana yaani;
1. Kuwafungulia watu email account/whatsap/facebook n.k..kwa elfu 5 kwa kimoja
2. kuweka windows na programes zingine ktk computer mbali mbali, kwa computer moja kiwango cha chini elfu 20
3. Diamond/Alikiba wakitoa nyimbo mpya ni furaha kwangu, nitawaingizia watu ktk flash/memory/simu..wimbo kwa shilingi 100, season...moja kwa shilingi 100 (kwa siku upande huu pekee unanipa zaidi ya elfu 30)
4. Nauza bits za injili walizotengeneza watu wengine 😎 ...nasaidia na kutafutia tyuni ya kwenda na hiyo biti..elfu 5 kwa mojaπŸ˜›
5. Nina mashine za photocopy, printing na scanning, passport ...hii yote kwa siku lazima inikusanyie kuanzia elfu 30
6. Nina idea kidogo ya ufundi, simu na computer na vifaa vingine vya umeme...narekebisha vifaa kwa bei ndogo ila si chini ya elfu 5 nikishindwa niwaunganisha wateja na mafundi wengineπŸ˜€πŸ˜€
7. Sura yangu na matendo yangu hayana shaka naaminika....hela zinakuja toka pande zote

Vyote hivyo ni pesa tupu...cha ajabu bado maisha yananizodoa jamaniπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Biashara ya tofari za block ,ukiwa mjanja kwenye hii busines utauza milioni 1 mpaka 4m kwa siku kwa wastani, kikubwa mtaji, customer care na usimamizi. Talking from experience not theoretically
nb'. Pesa utakayoipata zidisha 2/3=faida
Hii naona inategemea na eneo pia
 
Unaweza ukawa una matukio ya kula kimasihara au mzee wa gambe, una chuma ulete, una matumizi makubwa kuliko mapato yako.
 
Tusubiri thikukuu iishe bro
Nimependa unavyompambania mkeo
Usijali ..nitakufundisha Tena vile ana salon atapiga Sana pesa.
Hellow dada, kama una nafasi nakuomba unielekeze, PM yako nimejaribu kukutafuta ila naambiwa siwezi kukutumia meseji
 
Bado unauza kitimoto?
 
Unacheza option gani mkuu....
 
Kwa experience yako kwa sasa kazi kama hii inatakiwa uweke wapi ikiwa huna mtaji wa kwenda town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…