Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kuna madarasa nowdays wanafundisha namna ya kutengeneza mikorogo classic

Anzia hapo

Kuwa mbunifu kwenye packaging na Matangazo
Habari Dada.
Unauza "Nail polish(gel) remover"?
1. Kama ndio, ujazo na bei yake.
2. Kama hapana, unafahamu wanapo uza kwa mitaa ya huko kariakoo?.

Ahsante.
 
Habari Dada.
Unauza "Nail polish(gel) remover"?
1. Kama ndio, ujazo na bei yake.
2. Kama hapana, unafahamu wanapo uza kwa mitaa ya huko kariakoo?.

Ahsante.

Hapana siuzi Vitu Vya kucha

Njoo inbox nikupatie namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…