Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Mtu anawezaje kufanya hii from the scratch
Kuna madarasa nowdays wanafundisha namna ya kutengeneza mikorogo classic
Anzia hapo
Kuwa mbunifu kwenye packaging na Matangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anawezaje kufanya hii from the scratch
Habari Dada.Kuna madarasa nowdays wanafundisha namna ya kutengeneza mikorogo classic
Anzia hapo
Kuwa mbunifu kwenye packaging na Matangazo
Habari Dada.
Unauza "Nail polish(gel) remover"?
1. Kama ndio, ujazo na bei yake.
2. Kama hapana, unafahamu wanapo uza kwa mitaa ya huko kariakoo?.
Ahsante.
Ni biashara gani hiyo mkuuMimi kwa siku naingiza 40000 kwazia jumatatu paka jumamosi
Mkuu Mimi ni agent nanunulia watu wa mikoani mizigo kariakoo nawatumia transportNi biashara gani hiyo mkuu
Mkuu Mimi ni agent nanunulia watu wa mikoani mizigo kariakoo nawatumia transport
WanawatejaNa mimi nipe konekisheni aisee, angalau ata ikiwa 20k fresh tu
Biashara gani ndugu nasisii tupate madiniMimi kwa siku naingiza 40000 kwazia jumatatu paka jumamosi
Lak 3 had 4Hiyo ya mikokoteni iko vizuri zaidi
Hivi mkokoteni mmoja unaweza kugharimu pesa kiasi gani mpaka kukamilika(matengenezo)@Fighter23,
Kusafirisha kwenda kongo sasa , kashesheHamia TikTok
Nauzia wangu TikTok
Wateja ni wengi
Weka tag ya Congo na Mombasa
Wanapenda mikorogo balaa
Kusafirisha kwenda kongo sasa , kasheshe
Angent wa kununulia watu bizaa bossBiashara gani ndugu nasisii tupate madini
Wow. Faida yake ikoje mkuu. Naona watu wengi sana wana tangaza "Agiza na sisi" au "Muagize Fulani"Angent wa kununulia watu bizaa boss
Faida ipo kubwa sana siyo vizuri kuweka hapa publicWow. Faida yake ikoje mkuu. Naona watu wengi sana wana tangaza "Agiza na sisi" au "Muagize Fulani"
Nitajaribu, fb ads siku hz kuna mda inakua miyeyusho kwel kwelHamna kasheshe yoyote
Kkoo kuna transporters wanapeleka