Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Bro, yaani laki 1 yako ndo umpune mama wa watu 2,000 kwa siku 360?
Hii ni mara 100 akakope kausha damu.
 
Duuh kweli ubepari na ubinadamu havichangamani kbsa...hata sheria itakuruhusu kweli ikitokea mkapishana huko mbele mbna riba ni kubwa x10 wapi inaruhusiwa hyo
 
[emoji1787][emoji1787]sure behind keyboard kila mtu anajua anachofanya especially hapo katika kuomba na kuroga maana uzito wake huja giza likishaingia....
 
Fungua kijiwe cha pombe,nyama choma,kongolo,supu.Utakuja kunishukuru.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kuna uzi kama wako huu umo humu
Utafute
 
Kijana taratibu!

Kwa muda wa mwaka Moja na miezi 6 umepata 2mil maana yake

Kwa mwezi kipato chako ni 125,000

Kwa siku kipato chako ni 4000

Kwanini Leo unataka uende gafla kwenye kupata 30000 kwa siku gafla kutoka 4000?
Maisha ya utafutaji hayapo hvo usifanye short cut!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…