Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

scam scam scam
au ww ulishafanikiwa kuwithdraw
Screenshot_20191031-132256.jpeg
 
Hajui kitu huyo. Mafuta ya elfu 5 unatoka Mbagala unaenda Boko na kurudi na yanabaki. Je ni sh ngapi huo mzunguko? Tuchukulie ndio umepiga route ndogo ndogo. Hajui kitu huyo.
yule namwambia akawa analeta ligi eti boda boda anaingiza 15000

nikaona huyu nimtwange swali 1 tu aniambie mafuta ya 5000 yanaleta sh ngapi
 
Mkuu, hii mikokoteni yenye madumu inafanya kazi sehemu isiyo na shida ya maji? Maana kuna sehemu naitarget hakuna kabisa shida ya maji. Na bei ya kukodisha mkokoteni 1 ni wastani wa kiasi gani?
Thanks@CONTROLA,
 
Hello wananzengo

Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokua na tija haitapokelewa.

Give me 3 million or 4 million na nakuahidi ntakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.

Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.

When you are Man, you have to find money and more money, and more and more money, pssy, bia, starehe, zipo tu but ... MONEY, POWER. UJI ESTABLISH AS A MAN kwanza ndo mengine yafuate.

Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.

Asante na karibu for serious minded.
 
Mkuu, hii mikokoteni yenye madumu inafanya kazi sehemu isiyo na shida ya maji? Maana kuna sehemu naitarget hakuna kabisa shida ya maji. Na bei ya kukodisha mkokoteni 1 ni wastani wa kiasi gani?
Thanks
Mkokoteni kazi yake sio kubeba maji tu mkuu (usikariri nakuomba)

Ukishakua na mkokoteni ni sawa na mpishi mwenye sufuria

Ile sufuria inapikia chakula chochote and then mikokoteni sio yako

Mikokoteni ni ya wateja (yako ni pesa) Tangeneza mikokoteni weka hapo

Wataokuja kukodisha watajua wenyewe wanaenda kubebea nini,hata kama wakienda kubebana wenyewe "usijali"

we ili mradi wanakulipa pesa yako..

Bei ya mkokoteni inategemea mtu anakodisha mkokoteni kwenda kufanyia kazi gani 1

Pili kuna kukodi mkokoteni kama mkokoteni(bei yake)

Tatu kuna kukodi mkokoteni na madumu yake(bei yake)

BEI : panga mwenyewe maana wewe ndio unaejua unataka nini na umetumia sh ngapi hadi kufika hapo mikokoteni ilipo.
 
Hello wananzengo

Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokua na tija haitapokelewa.

Give me 3 million or 4 million na nakuahidi ntakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.

Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.

When you are Man, you have to find money and more money, and more and more money, pssy, bia, starehe, zipo tu but ... MONEY, POWER. UJI ESTABLISH AS A MAN kwanza ndo mengine yafuate.

Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.

Asante na karibu for serious minded.

Naona mambo ya FOREX yanataka kukudatisha.

Halafu nimekumbuka na zile saa kule Q-NET si zinauzwa mil.4 sio?

GOODMORNING BILLIONAIRE.
 
Naona mambo ya FOREX yanataka kukudatisha.

Halafu nimekumbuka na zile saa kule Q-NET si zinauzwa mil.4 sio?

GOODMORNING BILLIONAIRE.
sema haya mambo bhana kizungumkuti..wengine wanapiga pesa kweli wengine tunabaki tunahoji a to z how comes!! nna jamaa yangu aliingia Qnet kwa hiyo saa ya 4 mil, ni mwaka sasa ila ameshajenga, ana gari, saiv kanunua kiwanja anataka ajenge nyumba za kupanga

that's life!
 
Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.

Ulikua unauzia wapi?
 
kila nkiangalia ule uzi wako wa ufundi smu na computer huwa napata morale sana wa kufanya hii kazi mzee kukunja 150k kwa sku sio mchezo

Mkuu Komaa Tu, Kaza Sana Siku ukiwa na fremu yako unakula maisha utagundua mungu ni wa ajabu sana
Trust me nina Diploma Ya Clinical Medicine Lakini Nimehangukia Huku Sasa Na Nilipopita Ndio Huko.
 
Anza kuuza bange.
WAPI UTAPATA BANGE!
1. Nenda shambani mwenyewe wala usitengeneze connection itakuja kukuharibia.

2. Usiende kwenye mashamba ya mipakani mwa nchi ni risk!

3. Nenda kwenye mashamba ya bange yanayolimwa kwenye majaruba au mashamba ya miwa.
Nimetaja hiki kilimo kwa kuwa kinalimwa mwaka mzima hakuna siku utaenda shamba la miwa ukute liko wazi.

UTAIUZA WAPI?

1. Wateja wako wa mwanzo kabisa wanatakiwa kuwa maaskari wa jeshi lolote.

2. Wateja wako wapili ni wafanyakazi wa umma wengineo!

3. Wateja wako watatu Madereva.
Ishia hapa usimuuzie mwingine yeyote.

NAMNA GANI UTAWAUZIA MAASKARI?

1. Tengeneza urafiki nao baadhi ule urafiki wa kulala hadi gheto mmoja au wanakuachia gheto kabisa.
Vijumba vyao unavijua

2. Polisi au askari yoyote hana rafiki pale anapotekeleza kazi yake hivyo unapaswa kuwa makini sana usije sanukiwa huko unapofuata kwani atakukana au kuja kukudaka yeye mwenyewe.

Ukifanikiwa kwenye haya utavuna hela kwao sana yani sanaa bila kusahau watumishi wengine wauma wenye pesa zaidi.

UIFANYE KWA MUDA GANI?
Fanya hii kazi kwa miezi sita tu achana nayo utakuwa milionea tayari nafahamu itakuwa ngumu sana kuacha ila you have to leave it!

Note: kete moja kwa maaskari uza 2000/- watumishi wengine uza 3000 - 4000 itategemea na wapi ulipata mzigo.

Note: hii idea imeandikwa na mvutaji na muuza bange mstaafu!

Mwezi huu huu kuna mtu nimrkutana naye kwenye mishe za kazi...ni hustler .kazichanga ..nikamuuliza ishu zake...hakunificha...akaniambia unataka kuwa milionea haraka?nikamwambia sema kwanza nijipime...akasema peleka mara 2 tu Burundi bangi..lima tabora!..hhahaa nikaishia ku🙆🙆🙆!...akasema usizidi hapo...! ...uwiii🤣 hapana aisee
 
Back
Top Bottom