Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Chumba ni buku 10.nina vyumba 12.Hapo napata 120k kila siku hapo bado kuna (short time)niko na mfanyakazi mmoja tu.30k
TRA, MANISPAA, ZIMAMOTO n.k ni SHEMEJI zako, eti? Usilishe wenzio sumu, ukute unaishi kwa mjomba ama kwa dada tu.
 
Niliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
 
mpango mzuri lakini. Ni ngumu hao watu kutekeleza kwa mwaka mzima na ni kuwanyonya.

Kuna biashara kufa.
Atatumia hiyo hela then itaisha hata mwezi hajamaliza. Then yeye nae akipiga mahesabu ndani ya mwaka ataona ni yeye ndiye anapunjika ataavunja utaratibu.

Ukitaka kujua ugumu wa hii kitu uliza wale waha wanaokopesha vyombo jinsi gani hupata tabu.
 
Kama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea

Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000

Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k

Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani

Na log out
Forex ukiwa na milioni 2 unaweza kutengeneza elfu 40 kila siku
 
Kwa hesabu ya haraka mkuu baada ya miezi kumi utakuwa umeingiza 9m, sasa toa gharama ya bajaji ulioanisha 7.2m una baki na faida ya 1.8m, igawe kwa miezi kumi ni sawa na 180,000/= Hapo kwa siku utakuwa unaingiza 6,000 kama faida kwa mtaji wa 7.2m.
Yeah na hapo hiyo hela isiguswe hata kidogo ndio hiyo hesab itaonekana...ila akiumwa mtoto akaitumia, akanunua luku, n.k hatakaa aone return ya hiyo hela
 
Mwezi huu huu kuna mtu nimrkutana naye kwenye mishe za kazi...ni hustler .kazichanga ..nikamuuliza ishu zake...hakunificha...akaniambia unataka kuwa milionea haraka?nikamwambia sema kwanza nijipime...akasema peleka mara 2 tu Burundi bangi..lima tabora!..hhahaa nikaishia ku[emoji134][emoji134][emoji134]!...akasema usizidi hapo...! ...uwiii🤣 hapana aisee
Daah na Tabora ilivyojaa wanajeshi sasa uwiiiii
 
Yaani stationery napiga picha nne sh 1,000 siku naweza piga hata 30...copy sh 100. Kuprint 500, kuchapa barua, hati, mkataba, au chochote kile...page moja sh 1,000 (pamoja na kuprint)
Kusafisha picha za kwenye simu, memory card...sh 400/pc au kama nyingi tutaelewana.

Mfano juzi kati hapa walikuja CCM wanataka niwaandalie karatasi za kupiga kura serikali za mitaa. Ile siku nilimaliza ream 7....kazi nikaelewana nao tu wakanipa sh 50x500x7 nikapiga plus vitu vingine vingine wakaniachia kama laki 2 hivi kwa kazi ya masaa 5....

Siku hizi kuna watu wanaandaa katiba za vikundi, yaani kazi ni nyingi mno watu wanataka kuandikiwa (typing). Form 6 kibao wanataka kwenda chuo wakija kuprint maform yao ya chuo....unakula kichwa, lamination....n.k

Siku hizi watu wengi wanajaza form za NIDA, so wanapiga picha passport size waende nazo serikali za mitaa. Nimechukua ile form A1 ya NIDA nimeitoa copy....unachangia 200 ya copy nakupa form....au ukipiga picha ya passport size....form bure. N

Mimi stationery yangu siuzi makoro koro mengi kama maua....yaani pale ni print works tu. Pale nauza peni tu na counter books, chalks,shelfu langu ni nusu ukuta wakati kuna kuta 3...print works tu ndio zinanilipa. Technically unahitaji mtu anayejua kucheza na publisher, word, excel kidogo, adobe....utapiga hela sana. Ninawasichana 2 wa kunisaidia kazi na still kunakuwa na foleni kiaina.

NB: Ofisi ipo sehemu ya uswazi ambako layman ni wengi wasiojua hata basics za computer. Huwezi kufungua biashara hii maeneo ya Survey ukapiga hela.

hv stationery inarudishaje faida et, mana copy shiling 50 afu printing 100 but ile machne ya copy inauzwa zaid ya 1milion.....naonaga kama ina return ndogo et
 
Unatumia vitendea kazi gani katika printing mkuu ya hizo picha, barua, passports, nk
Yaani stationery napiga picha nne sh 1,000 siku naweza piga hata 30...copy sh 100. Kuprint 500, kuchapa barua, hati, mkataba, au chochote kile...page moja sh 1,000 (pamoja na kuprint)
Kusafisha picha za kwenye simu, memory card...sh 400/pc au kama nyingi tutaelewana.

Mfano juzi kati hapa walikuja CCM wanataka niwaandalie karatasi za kupiga kura serikali za mitaa. Ile siku nilimaliza ream 7....kazi nikaelewana nao tu wakanipa sh 50x500x7 nikapiga plus vitu vingine vingine wakaniachia kama laki 2 hivi kwa kazi ya masaa 5....

Siku hizi kuna watu wanaandaa katiba za vikundi, yaani kazi ni nyingi mno watu wanataka kuandikiwa (typing). Form 6 kibao wanataka kwenda chuo wakija kuprint maform yao ya chuo....unakula kichwa, lamination....n.k

Siku hizi watu wengi wanajaza form za NIDA, so wanapiga picha passport size waende nazo serikali za mitaa. Nimechukua ile form A1 ya NIDA nimeitoa copy....unachangia 200 ya copy nakupa form....au ukipiga picha ya passport size....form bure. N

Mimi stationery yangu siuzi makoro koro mengi kama maua....yaani pale ni print works tu. Pale nauza peni tu na counter books, chalks,shelfu langu ni nusu ukuta wakati kuna kuta 3...print works tu ndio zinanilipa. Technically unahitaji mtu anayejua kucheza na publisher, word, excel kidogo, adobe....utapiga hela sana. Ninawasichana 2 wa kunisaidia kazi na still kunakuwa na foleni kiaina.

NB: Ofisi ipo sehemu ya uswazi ambako layman ni wengi wasiojua hata basics za computer. Huwezi kufungua biashara hii maeneo ya Survey ukapiga hela.
 
Unafanya mwenyewe full time..au
biashara ya kuuza chipsi banda liwe simple tuu mtaji hauzidi 700k ila location na mautundu ndo kitu cha msingi
nimefanya hii kitu and still bado nafanya
20k-40k profit per day
 
Mawazo yote huko juuu ni mazuri na yana faida kama yalivyoandikwa

ONYO

Usilogwe na mtu au usipate mzuka ukapitiliza ukatamani kwenda KUKOPA

ili uje ufanye moja ya mawazo waliotaja wadau huko juuu (usijaribu) narudia tena (usijaribu)

Kama huna hela tafuta njia ya kupata pesa (hakikisha pesa ni yako) usiazime kwa mtu yeyote yule

Wala usichange na mtu yeyote yule Hata kama una rafiki yako (mmeivana kama nyanya) na mnasoma wote hii thread

Usijichanganye mkasema eti tuchange tufanye PROJECT hiii (we we we we we) msitake nimalizie.

Katika mawazo yote CHOMOKA na wazo lako 1 litafutie hela(mtaji) ukishika pesa yako mkononi ambayo

Hujamuomba mtu,hujamuazima mtu,hujamkopa mtu,nk Ingia Mzigoni weka vitendo sasa.

Fanya PEKE YAKO

usiogope kugombana na rafiki kisa mlikua mmeivana unashindwa kujua utajitengaje nae

Usijitenge nae kwa ubaya,kama unampenda sana Muite mwambie kuna A B C D.... then msikilize respond yake

mwambie nataka tufanye 1 2 3.... ila wewe ufanye kivyako na mimi kivyangu then tukutane jioni tupongezane au

kupeana pole Akikubali haya asipokubali (ndio pona yako)

Thanks.
 
Unafanyia wapi mkuu me Nina Vyombo vyote shida location na kijana ni changamoto mnooo biashara ikanishinda
biashara ya kuuza chipsi banda liwe simple tuu mtaji hauzidi 700k ila location na mautundu ndo kitu cha msingi
nimefanya hii kitu and still bado nafanya
20k-40k profit per day
 
hawa wahuni achana nao utapoteza tu mda wako
ukitaka kutoa hela wanataka uwe na referral 40,kama huna referal wanasema ulipe ili wakupe referal(tangu lini boss akahtaji pesa kutoka kwa mfanyakazi wake?) , ukishalipa yanaaza mambo ya "server down" mara paap ur accout is blocked daaaaaah wahuni sio watu[emoji41]View attachment 1253916View attachment 1253917
Ukifikisha hizo referrals 40 utaambiwa your account is not verified wait 30-60 days for verification. Mkanda umeungua hapo [emoji849]
 
CONTROLA,
Hv toroli moja yaweza kugharimu bei boss, wengine mitaji mpaka tu make mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom