Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Hujataka tu mkuu, nasema hivi, hujataka tu mkuu, mtu mwenye nia ya jambo huonekana, lakini pia siku nyingine ukiwa na shida jifunze kua mdogo , acha kuuliza maswali ya kijinga namna hii instead msumbue huyo mhusika na shida yako , atafika mahali tu ataguswa atakusaidiaMKUU,
WEWE KWA NINI HAUTAKI KUNIFUNDISHA UFUNDI SIMU WAKATI NAMI NIPO MTWARA?
TUANZIE HAPO KWANZA.