Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
toa muongozo kidogo mkuu mlikua mnafanyaje fanyajeNmefanya hii kazi na kampuni Fulani apa Arusha, ni nzuri but ina risk sana aise..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toa muongozo kidogo mkuu mlikua mnafanyaje fanyajeNmefanya hii kazi na kampuni Fulani apa Arusha, ni nzuri but ina risk sana aise..
[emoji240][emoji240][emoji240]Kama una kazi nyingine arafu unataka ufungue biashara ya chips uweke mtu bila kumsimamia nakushauri ufikirie Mara mbili mbili hilo wazo lako mm binafsi nishalia sana na vijana wa chips na wame nipa hasara sana hadi nine fung yani ni pasua kichwa una kuta mtu kamaliza vitu vyote arafu hela ukimuliza hana ana kwambia bro biashara mbaya sana ina kuaje mbaya wakati chips zime kwisha mishkaki hakuna mayai yame kwisha yani basi tu
Nicheki kwenye no 0763308594 nikupe biashara yenye pesa
FOREVA LIVING, Q. NET, AIM GLOBAL AND THE LIKE AT WORK (OF EMPOVERISHING PEOPLE).0628335966
Heshima yako mkuu, barikiwa sana.
Naaaam nipo hapa
[/
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa. Kuna ofis moja niliiona imekaa local Sana na hapo hata TRA wakipita hata hawawezi kujisumbua kuingia,ila jamaa Yuko busy muda wote na mtonyo wa kutosha,hata ukitaka 2M pale unapata. Cha ajabu sasa hata mtu akifika anataka kuweka/kutoa buku jamaa haachi tofauti na hawa wanaopamba ofis zao! Kikubwa ni kuwaaminisha watu kuwa kwako watapata wanachokihitaji,watu watakuja Tu.iko hivi ndugu yangu King999 hao wateja wakuvutiwa na ka ofisi kako kazuriiiiiii sio wengi kama wateja wale waaopenda
ingia sehemu local/kawaida,halafu wateja hao wanaovutiwa na ofisi yako nzuriii wakija ofisini wana mbwe mbwe nyingi
halafu akiingia ofisini kama yupo na demu wake wataishia kunywa SODA 1 na kutoka,(ofisi yako wataifanya kama kfc)
kijiwe cha stori ila hawatokuja ofisini kwako kwasababu kweli wanahitaji walichokifata (wewe mwenyewe unaweza kuwa mfano)
n mara ngapi week end ukitaka kutoka out kwenda sehemu nzuri huwa ukifika kule unaishia kunywa ka juice na maji 1 kubwaaa then unarudi nyumbani??
sehemu local/kawaida ni maalumu kwa wenye shida haswaaa yani ukienda sehemu hiyo unakua kweli "u need service" kama wewe leo umesema umeenda kibanda cha mpesa ukaondoka kwasababu hukudhani kama ana salio...
Unajua kwanin hukuenda pale kwenye kile kibanda??? "wewe sio mteja serious" hukuwa na shida na ile huduma ya pesa kwa haraka ndio mana wewe kwako unaangalia ofisi kuliko Lengo lako linalokupeleka pale.
Mtu kama mimi nikiwa nahitaji pesa huwa sijali ofisi ya mtu ikoje as long as kachora MPESA mimi naendaaaa,yule jamaaa wa kibanda cha mpesa ametulenga wateja sisi (mimi) na si wateja wewe maanaa wateja wewe huwa mnaenda ma ofisi ya watu badala ya kufata kilichowapeleka mnaanza angalia ofisi za watu wamekalia nini,wamevaa nni,nk
wateja sisi (mimi) ndio wengi katika ulimwengu huu kuliko wateja wewe boss King999 maana sisi vi hela vyetu ni kidogo ila tunavitoa kila siku,ila mteja wewe ulikua unataka ukatoe sh.laki 9 ila kuja toa hiyo amount n mpk mwezi ujao,wakati huo sisi wa vi elfu tano tano tunaena ile ofisi daily,kila saaaa ila mteja wewe unatokea mara 1 kwa wiki.
Umeona utofauti hapo sasa mkuuu.
hii ni kitu gani? ebu ifafanue niielewe tafadhaliNenda ukawe free lancer, achana na hizi kazi za motor & pestle, angalia una ujuzi gani jiunge na site husika za freelancing anza kutoa huduma kwa kutumia computer tu ukiwa umelala geto. Nb inachukua muda kufanikiwa kuwa mvumilivu.
endelea kuamini kuwa hizi ni porojo.UMEWEKA POROJO NYINGI SANA MKUU,
ILA CONCERN YAKO I HIYO PARAGRAPH YA MWISHO.
AMEKUSIKIA,
VERY SOON ANAKUJA KUKUPA MWONGOZO!!!
Nimesoma thread na kupitia comments za wachangiaji wote.nimecopy baadhi ya comments hizi kwangu zishakuwa wazo la biashara kabisa.
JF imewahi nipa mawazo mawili ya biashara: biashara mojawapo ni hii ya icecream ,nikatarget eneo la shule nikamuweka wife akomae nayo.Nilimchukulia machine ile na freezer.wife anaitwa mama cone sasa hivi ananishukuru sana 20-25 faida analaza,tunampango wa kuitanua zaidi.hizi biashara za kipuuzi watu wanaziona zina pesa nyingi sana na unaweka mtaji mdogo sana kinachotakiwa ni kukaza sana
Mkuu Manengelo huwa nafatilia sana harakati zako na comments zako kwenye nyuzi tofauti ,nitakuja huko uliko niangalie upopo ukoje kwani kuna classmate wangu primary yuko huko anafanya kama unachofanya huko
Duh mimi sijui nakwama wapi. Banda langu likiwa linaniingizia hivyo wallah ndani yamwaka nakuwa najengokaribu kwenye uwakala , hili goli langu ni banda tu na si fremu ya kulipia....leo tarehe 28/11...hapo bado airtel money na halopesa sijui, huwa hawaoneshi kama tgo na vodaView attachment 1275310View attachment 1275311View attachment 1275312
karibu kwenye uwakala , hili goli langu ni banda tu na si fremu ya kulipia....leo tarehe 28/11...hapo bado airtel money na halopesa sijui, huwa hawaoneshi kama tgo na vodaView attachment 1275310View attachment 1275311View attachment 1275312
mkuu inawezekana, amini usiamini, mimi ninayo mabanda matatu now , halafu yote yapo karibu karibu tu, kila moja halishuki jumla ya kamisheni m 1 kwa mwez, hilo nililokuonesha picha huwa linafika total 1.5mDuh mimi sijui nakwama wapi. Banda langu likiwa linaniingizia hivyo wallah ndani yamwaka nakuwa najengo
Tunaweka nyimbo,movie,season kwenye flash (zilizotafsiriwa na madj) hatuuzi bongo movie mana msako anytime...ofisi yaingiza 20000-25000 per day hapo sijatoa matumizi 8000 kwa siku pamoja na kipande cha mfanya kazi (siwalipagi kwa mwezi ni per day kila mtu afe na chake).
Alhamdu lillah now ziko ofisi 3 hii ya 3 bado mpya so haijafikia level ya 20-25 ipo kwenye 10000-15000.Kwa hizi ofisi tatu sikosi 40000 kwa siku.Huezi amini bado sijawa tajiri.Gharama ya kila ofisi ni 5-6 Ml....Kazi yangu sifanyii kwenye vibaraza nakodi frem so kodi kama kawa.
Changamoto ni kukosa wateja hasa walio kwenye matumizi ya CD so had mtu aje kwenye flash huchukua muda mana kila ninapofungua nakuwa kama ndio nawaamisha kwenye technolojia ya flash mana washazoea kukodi cd.
Changamoto ingine ni kukatika kwa umeme yan umeme ukikata na ofisi nafunga ( ila kwa sasa nimeweka vifaa vya electronics mf chaja earphones nk.
Changamoto ingine ni kupata kijana mzoefu wa kazi mana anakuja mteja anataka nyimbo ambayo yeye haijui labda anajua kuiimba kipande nk,Kutafuta mafile na upangaji yan ushapu na uzoe wengi huitaji muda kuwa katika lavel hii ila kwenye nyimbo huwa majanga hasa za zamani.
Changamoto ingine Kukesha usiku kupakua movie almost 21gb per day lazima itumike 20 usiku kwaajili ya movie 1gb mchana kwaajili ya nyimbo mpya (asante ttcl)
Changamoto ingine ni madhara ki afya ( long run) kwa kule kukaa muda mrefu kwenye kiti na kutumbulia macho kioo.
Changamoto ingine ni uwepo wa flash na memory card feki hii inatukosesha wateja mana mtu anakuja na flash umuwekee movie za 2000 ukitaka kuweka unagundua ni feki basi huwa hatuna haja ya pesa yake zaidi ya kumwambia flash yako ni feki hazitocheza tukikuwekea.
Mwezi huu huu kuna mtu nimrkutana naye kwenye mishe za kazi...ni hustler .kazichanga ..nikamuuliza ishu zake...hakunificha...akaniambia unataka kuwa milionea haraka?nikamwambia sema kwanza nijipime...akasema peleka mara 2 tu Burundi bangi..lima tabora!..hhahaa nikaishia ku[emoji134][emoji134][emoji134]!...akasema usizidi hapo...! ...uwiii[emoji1787] hapana aisee
Unajua bei zake? playstation